Nikiona mtu anaibiwa nahisi kama naibiwa mimi...

Nikiona mtu anaibiwa nahisi kama naibiwa mimi...

Maana huyo baamedi inaelekea mnakauhusiano maana unavyo mfagilia maana ukiwa na guest lazima katika hiyo guest lazima kuwe na mleta umbea kwako vivyo hivyo na baa sasa kwakuwa hapo ni baa na guest ina maana hiyo kitu ilikuwa chakula yako!Mpaka katuona na kaona Paloma amechomoka??kwahiyo unamaana na paloma naye alipanda mandolini ya Kipaji Halisi??au mpaka hapo ujui alitumia usafiri gani??

mie sikupanda hiyo weweeeeeee...........muulize vizuri Mentor, eti nilitumia usafiri gani?!?!?
 
Last edited by a moderator:
mentor nimekukubali, yaani hadi kichwa kinaniuma nilivyokuwa na hisia jamani, aise yaani kama MziziMkavu a.k.a shigongo no. 2
 
Maana huyo baamedi inaelekea mnakauhusiano maana unavyo mfagilia maana ukiwa na guest lazima katika hiyo guest lazima kuwe na mleta umbea kwako vivyo hivyo na baa sasa kwakuwa hapo ni baa na guest ina maana hiyo kitu ilikuwa chakula yako!Mpaka katuona na kaona Paloma amechomoka??kwahiyo unamaana na paloma naye alipanda mandolini ya Kipaji Halisi??au mpaka hapo ujui alitumia usafiri gani??

Huku nyuma ikabidi niwahi home nikamtoroshe Yule mke wa Sosoliso. Katika mahojiano ndo akaniambia anaitwa Paloma na kwamba ni kweli sosoliso ni mumewe na Kaka Kiiza walikutanaga tu kwenye party ya kazini.



Basi nikampakiza kwenye taxi andoke pale.



Wkati narudi gesti nakutana na polisi mlangoni wakaanza kunihoji kana kwamba wana uhakika 100% ninajua mke wa sosoliso alipo. Nikakataa...


mie sikupanda hiyo weweeeeeee...........muulize vizuri Mentor, eti nilitumia usafiri gani?!?!?

Nimeshawajibu wewe na hawara wako.
Cc: sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Mtu mzima sitishiwi nyau...there is Muarabu...!!!!hehehehe

next week ntakuletea mhindu...with U at the end!!!
sio huyu levy mwanawane ana challenge kama nini sijui..............aaargh
 
Aisee katubu dhambi hiyo kanisani, itakusumbua sana maana inaonekana ni mtu wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
just trust yourself, always whats on your mind, architect your life. stop being negative
 
Back
Top Bottom