hahahaaa...........haya bwana
Nimeipenda bure story yako
Toria, unadhani nakataa basi...but until then...until then..kwa sasa, bado nipo nipo sana!!!!mawazo yako ndio mchawi wako Mentor,wapo wanaoenjoy kwenye ndoa zao why don't u think positive that even u,u can step in and live happy there after..
Kuibiwa kupo lkn sio lazima uibiwe wewe na ukiibiwa wewe sio lazima ujue na usipojua maisha yanaenda kama kawa kama dawa
hhahaha siku za karibuni kama umemfuatilia mentor amekazana haoi haoi ndio umekuwa wimbo wake,mie mpaka nahisi he is in denial kiukweli anapenda kuwa na mdada mrembo,ambapo hata hapa wapo lol wadada ongeeni na mentor am sure the only thing he fears is rejection,wadada wa jf natoa wito wa kunmtumia PM mentor pllease kama uko single :A S 39::yo::tape2::bounce: