Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,945
- Thread starter
- #21
What? Mentor! Based on a true story? And the setting is Himo. a place I know so well. Which guest house are you talking about? Silent Inn? King Size? Which?
Mkuu HYGEIA, am sure nikikutajia jina la guest utanijua hakika maana mzee alikuwa anafahamika sana pale Himo. But ni kweli kabisa ilitokea Himo kwenye guest moja paleeee...
Lol. Yaani wewe dingi Mtambuzi akiona hili soo si nimekwisha mimi jamani?
Ila mentor, mimi cousin wangu ana gesti na iko next to his house. So wageni wake wote huwa tunalala gest. Niliyoyaona nimechoka kuwaza mapenzi. Na ndo maana i am so relaxed kuhusu mapenzi. Najua kuibiwa kumo na nina hakika nikimfuma Paw wala sitopata wazimu na kuhangaika hivyo. Huwezi kumfanya mwenza kama project uanze kuhusisha na polisi na sijui mkiti wa mtaa. Ninkama ukinunua gari unajua kuna wezi wa sight mirror na power window, afu kuna kina bob sambeke wanaolichukua zima zima. Kirrruuuuu, kusakana huko umemzaa wewe?
Hata yeye ana share zake za fumanizi...so am sure he won't mind.
King'asti kuna kipindi na mimi nilisemaga kama wewe kuwa sitoumia lakini 2010 nilishangaa nimeumizwa tena...i never saw it coming! Ndo mapenzi haya..hayana maana! ukiwa naye unajihisi zaidi ya pacha ake...
Hii makitu ingependeza kama ingewekwa na mapicha ya kunogesha..
Mkuu hii free style uliokuja nayo naona ni funika bovu maana hata visa vyangu vinaonekana kuchusha siku hizi..
Ngoja niwaachie vijana nao wakuve Kipaji Halisi kwa manufaa ya vizazi vijavyo...
Kaka Mtambuzi...WE ARE JUST BABIES STANDING ON GIANTS' SHOULDERS..the likes of you, Dark City, Mzee Mwanakijiji et al...
Tized, nikiitaja watu wote wa himo watanijua aisee mangi...pliz msinchokooe zaidi!!!!
Halafu yule OCS wa Himo wiki iliyopita nimekuja kukutana naye Polisi Makao makuu pale...nilicheka sana!!!! ilinikumbusha mbali sana..amekuwa mtu mkubwa siku hizi, sijui hata kama anankumbuka tena...
Last edited by a moderator: