Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,945
Nakutaka pia, Nakupenda pia
Mpenzi weeeee!
Lazima utakuwa na hangover bado kama hunielewi...!!!! meaning shemeji sosoliso, beware of your wife!!! (nimeongea kama mwenye mbwa.lol)
Lazima utakuwa na hangover bado kama hunielewi...!!!! meaning shemeji sosoliso, beware of your wife!!! (nimeongea kama mwenye mbwa.lol)
........yani ile mixer.......ni booonge ya confusion.......ikatoa yoghurt?!?!?!..........sikuielewa kabisa!!! sasa huko ndani si kila kitu kingeganda!!!
sasa why awe beware of me?!?!?
Bazazi Asprin ,Hanamkole!!! halafu siunajua sisi ni matingatinga tunatengeneza njia kesho tunapigwa ban eti tusipite kwenye barabara tuliyoitengeneza wenyewe!!! sawa bwana ngoja sisi twende kwenye barabara zetu za field zisizokuwa na masharti!
Niwalewale!Braza hapa kuna haja ya kikao.cha ndani cha chama....tusigombee urais? Au.naye ni chadema kama filikunjombe?