Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 5,808
- 7,156
Acha kupotosha watu na u-much know, hiyo ni variation tu ya tongue. Ni kawaida watu wengine kuwa na ulimi kama huo. Medically tunaita Geographical tongue. (Google utaona).Hata hivyo shukuru kama hukutoka na ugonjwa kama huu hapa chini au ukimwi kabisa
View attachment 1124750
Watu tunakula papuchi mwaka wa 25 sasa hatujawahi kupata hata kipele cha ulimi. Watoto wa siku hizi mmezidi kutishana sana