Nikinunua kingamuz cha Dbv t2 china au Usa nitapata local channel bure???

Mkuu dvb ts si cha dishi? ??halafu nikinunua dvb ts nataka nitumie na dish dogo la KU-BAND mimi sio mpenzi wa madishi makubwa
hivi kwa dish la ku-bank nitapata channel ngp??

odds're about zero to nothing

fta channels nyigi zinarushwa kwa C-band, ambayo inaitaji dish kubwa

izi za kulipia(pay tv) ndio zimejazana uko Ku,
 
Mkuu dvb ts si cha dishi? ??halafu nikinunua dvb ts nataka nitumie na dish dogo la KU-BAND mimi sio mpenzi wa madishi makubwa
hivi kwa dish la ku-bank nitapata channel ngp??
Ndio kuna dikoda zina vyote vya dishi na terrestrial.

Hata upande wa azam kuna chanell kibao kama wewe sio mtu wa mpira zinafaa, nilieka nyumbani kipindi fulani na dish dogo kushinda hata la azam, kuna chanell fulani 6 ni HD na content zake ni quality zinafunguka kwa biss key hivyo inabidi hio dikoda utakayonunua ifungue. Sema chanell moja ni ya kikubwa inabidi uifunge kama wewe ni mtu wa familia. Pia zipo chanell nyengine kibao za kawaida ambazo hata azam unazipata kwenye other tv.

Kama unataka dikoda ambayo haitabagua chanell tafuta yenye biss key, powervu na autoroll, terrestrial iwe mpeg4
 
me nna decoder ya star yime ile ya zaman inatumia antenaa naona local channel zote free, sasa nataka niipeleke mkoani vipi ntaendelea kupata huduma kama nikiiunga na dish dgo??
 
Ndio kingamuzi au TV yenye DVB-T2 itakupa local channel Bure kwa Antenna yako!
Naam, jee nikinunua king'amuz aina ya dvb t2 cha antenna kingamuz cha antenna kutoka nchi ya china au usa huku tz nitapata local channel bure???maana huku bongo local channel mpk ulipie
 
Back
Top Bottom