Nikinunua kingamuz cha Dbv t2 china au Usa nitapata local channel bure???

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Naam, jee nikinunua king'amuz aina ya dvb t2 cha antenna kingamuz cha antenna kutoka nchi ya china au usa huku tz nitapata local channel bure???maana huku bongo local channel mpk ulipie
 
sidhani na unaweza kuja nacho kikagoma pokea ata Chanel zingine funga dish zile za zamani ule bure sema scratch hazikwepeki
 
yap, nna cha dvb t1, Blaze Video HD 6.0, ila antenna ununue ndefu , uipandishe juu idake signal vizuri
 
Mbna bongo vipo vya free channel vigamuzi ila sasa unapaswa kua na dishi lolote lile lenye upana wa kuanzia futi 6 had 8 kama unaweza nicheki pm tuongee hii ni uhakika au kama alivyo sema apo juu uwe na dishi la zamani
Naam, jee nikinunua king'amuz aina ya dvb t2 cha antenna kingamuz cha antenna kutoka nchi ya china au usa huku tz nitapata local channel bure???maana huku bongo local channel mpk ulipie
 
Last edited:
dvb t ni kwa terrestrial mzee sio za dish(satelite), antenna ya kawaida (vhf) inapiga mzigo
ukitaka weka dish inabidi liwe la 10m uko kudaka frequency ndogo za terrestrial
Hapo nimeulizia kwa dvb ts mkuu asante kwa elimu
Cheki hiyo antenna ya kibake hommade
pic602a1f72.jpg
 
kwanini ujifungie kwenye DVB-T2 pekee tafuta chenye DVB-S2 pia ili uwe kote kote, tofauti ya bei wala sio kubwa pengine dola 5 tu.
 
kwanini ujifungie kwenye DVB-T2 pekee tafuta chenye DVB-S2 pia ili uwe kote kote, tofauti ya bei wala sio kubwa pengine dola 5 tu.
Mkuu dvb ts si cha dishi? ??halafu nikinunua dvb ts nataka nitumie na dish dogo la KU-BAND mimi sio mpenzi wa madishi makubwa
hivi kwa dish la ku-bank nitapata channel ngp??
 
Back
Top Bottom