Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,827
Naona unacheka Chief
Naona unacheka Chief
Hahahahahahaha
Umefurahi mwenyewe nakutafutia wifi ujue .
Ungeniambia nikupe mingooo

Hata jero ya maji jamani hamna huruma.....Na posho hupati.
Karibu mjumbe..siti yako umeiona lakini?
Nafurahi kuona mdau kajipanga kwa lolote litakalotokea(ambalo limetokea)Naona unacheka Chief
Maaa Mrs Jr hujambo?Hahahahahahaha
Mama ulifukia kwa kisigino nini!
Kwakwel mdau kajipanga kweliNafurahi kuona mdau kajipanga kwa lolote litakalotokea(ambalo limetokea)
Hilo kweli kabisaNi bahati sana kupendwa shem,,watu wanakufa hawajapendwa hata kwa kutaniwa tu
Hongera kwa jibu zuri haahaaNashukuru kwa kukufanya utetemeke kila uonapo comment yangu..ila nimewahiwa mie
Atakuja aliembora na wa kufanana nawe
AHSANTE SANA kwa kuwa Mwanamke wa mtetemesho kwako...![]()

Akimuona live lazima ataamkia muhimbili kama si ICUhahahahhahahheheheheheeeeeeeeeeeeiyaaaaaa duuuu yaani unaona tu comment tayari ushazimika sasa ukimuona live itakuwaje hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
jf kiboko

Alikuwa anasubili aone shemela atapokeaje akiona huo mtongozo, hivyo ili asionekane hana msimamo ni maji mara moja alivuta pumzi kidogoSasa ulingoja nini kutokujibu hivi toka mwanzo?? hahaha
Sijambo nilikumissMaaa Mrs Jr hujambo?
Yaani acha kila nikizunguka sikuoni,Sijambo nilikumiss