Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,827
Naifanya siri bebe,,siunajua Mtumishi wa malikia ,hatakiwi kutoa siri?Ifanye siri yako bebe
Naifanya siri bebe,,siunajua Mtumishi wa malikia ,hatakiwi kutoa siri?Ifanye siri yako bebe
Nimemuona kuleee...... penye kuna jamaa amempenda bidada wa Jf kwa kingereza... tehteehhh
Kucheka nifaida yna4




na raha zaidi cheko litoke kunako kumoyoHahahaha....Samahani sana wajumbe kwa kuchelewa....
Keshafika mkuuuNimemuona kuleee...... penye kuna jamaa amempenda bidada wa Jf kwa kingereza... tehteehhh
hahaaaa huo mchapio sikuuona aisee...
Nitatangaza jf nzima wajue upendo wangu kwako
Ewaaaaaa nalikitoka uko mpaka unajisikia msisimko wa coca colana raha zaidi cheko litoke kunako kumoyo
Katibu mjumbe..siti yako umeiona lakini?Samahani sana wajumbe kwa kuchelewa....
SwadaktaaaaaaNaifanya siri bebe,,siunajua Mtumishi wa malikia ,hatakiwi kutoa siri?
Nimemuona kuleee...... penye kuna jamaa amempenda bidada wa Jf kwa kingereza... tehteehhh


we nae mtembezi khaaaEbu ngoja niangaze humu kwa kutumia tochi, maana simuoni kwenye pendo la kutetemeka.... tehteehhhKeshafika mkuuu
Haha..na mtetemeko juu kama wa zeroEwaaaaaa nalikitoka uko mpaka unajisikia msisimko wa coca cola
Huhuhu hapoa vyatumbon lazima vihame vilipokuaHaha..na mtetemeko juu kama wa zero
Mimi huyo mshika pembe yelewiiiiii
Lazima nitembelee lindo mkuu.... tehteehhhwe nae mtembezi khaaa
Nakupenda numbuuHahaha kuwa makin utakuja kutukana bure
Vipi akikuambia " Nina baby wangu?".
Natafuta windo jingine
