D
Deleted member 485868
Guest
ngoja aje zero hapa hahaaaaaaaaaaaaaa




namsubiri aje ajisomee jibungoja aje zero hapa hahaaaaaaaaaaaaaa




namsubiri aje ajisomee jibuAchana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .
Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.
Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.
Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.
Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .




Nitakuita uje unisaidie jibu lingine shemHapo poa kabisa shem,akiendelea na usumbufu sasa kazi ni kwako
Hahahaha bebe nilikua najaribu kujenga picha ya huo mtetemo




na huo sio mtetemo tena ila itakua ni degedegeWewe kweli ziro IQNatafuta windo jingine
Nataka tena...ila usiulize nn best ..nlivyomwema ,ndomaana nmekuamsha uje ktk fursa yako
Ohoooo ndomaana niliwambia ile siku aiseeHuku bora upambane pm tu yaishie huko huko ukileta siled iwe unauhakika kabisa
Ila weee naye unapenda mnooo khaaaaaaaahh




si umenidekeza kupenda sasa kwanini nisipende...hahaha



Sasa ulingoja nini kutokujibu hivi toka mwanzo?? hahahaNashukuru kwa kukufanya utetemeke kila uonapo comment yangu..ila nimewahiwa mie
Atakuja aliembora na wa kufanana nawe
AHSANTE SANA kwa kuwa Mwanamke wa mtetemesho kwako...![]()
Shunie ...plzzz spare my ribsSo ndio majibu hayo unayoyapenda
Wacha alopoke tu kweli ..ila wengine wanatakaga kujua kupitia makuzi km hayona bora asijue muache ajiropokeshe tu hapo
Nataka tena...ila usiulize nn best ..nlivyomwema ,ndomaana nmekuamsha uje ktk fursa yako








akiiii tena nimecheka...unanizoesha vibaya ujueEeehhh binadam hawasikiagi mpaka yawakute tuuuHalafu unawakumbusha ya maana kabisa wanajifanya hawakusikii
Aya buana ..ila ungemfikiriapo ndugu yetuMsinipe dhambi jamani
Mama weeeeeeeena huo sio mtetemo tena ila itakua ni degedege
Mama yoyooooooooo kumbeeeee ,haaaaaa kunyimishana usingizi kucha ?? Haaaaaaaa . Nitakua siingii JF sasasi umenidekeza kupenda sasa kwanini nisipende...hahaha
![]()
Ifanye siri yako bebeWacha alopoke tu kweli ..ila wengine wanatakaga kujua kupitia makuzi km hayo
Kucheka nifaida yna4akiiii tena nimecheka...unanizoesha vibaya ujue