msimu huu wa magu unaubavu wa kumjibu mwanaume ivoEmbu rudi usingizini uko
Akiweka usisahau kuniitaWeka picha ukitetemeka tuone
Kwanini nisimjibumsimu huu wa magu unaubavu wa kumjibu mwanaume ivo
Anakuja sasa ivi ,nmeshamuita !!!

yani wewe...muone vileEmbu rudi usingizini uko
mkatae kwa upendo kidogo hahaha,unamkataa had anafurahi bana sio kikax hvyoHahaha na nyapia nyapiashem nakuona nakuonaaa
![]()
![]()
mkatae kwa upendo kidogo hahaha,unamkataa had anafurahi bana sio kikax hvyo



shem nifundishe hiyo kwa upendo inakuaje?Hata me naonaHahaha na nyapia nyapia
unajifanya kuringa wakati hata chura huna!!.....mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!Embu rudi usingizini uko
unajifanya kuringa wakati hata chura huna!!.....mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!




mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!! MwenyeweSi unampa maneno mazuri mazuri ya upendo wakirafikishem nifundishe hiyo kwa upendo inakuaje?
mfano

Si unampa maneno mazuri mazuri ya upendo wakirafiki![]()
mfano
Love nimewahiwa,wako yupo tena mzuri kuliko mimi cwt![]()
![]()
![]()
![]()




nakuona shem uko vizuri...ngoja nijaribu
Ni bahati sana kupendwa shem,,watu wanakufa hawajapendwa hata kwa kutaniwa tunakuona shem uko vizuri...ngoja nijaribu
Mbona jibu kavu hivi!!!!!!!!Embu rudi usingizini uko