othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 2,005
- 2,812
Haiwezekani mwenye vyeo vyote achelewe kikao.Hata jero ya maji jamani hamna huruma.....
Haiwezekani mwenye vyeo vyote achelewe kikao.Hata jero ya maji jamani hamna huruma.....
Alikuwa anasubili aone shemela atapokeaje akiona huo mtongozo, hivyo ili asionekane hana msimamo ni maji mara moja alivuta pumzi kidogo
Kuteleza sio kuangukaHaiwezekani mwenye vyeo vyote achelewe kikao.
Umesameheka.Kuteleza sio kuanguka
Hapo sawa sawia..Umesameheka.
Mm le pulganampenda CR7
Ata nikiwa kaspea ka baiskeri tena pedali kabisa siyo mbaya nipo tayri kuwa kanyagio ila mradi huo mtetemo upate kutulia.Nashukuru kwa kukufanya utetemeke kila uonapo comment yangu..ila nimewahiwa mie
Atakuja aliembora na wa kufanana nawe
AHSANTE SANA kwa kuwa Mwanamke wa mtetemesho kwako...![]()
HahahahahaHuhuhu hapoa vyatumbon lazima vihame vilipokua
Wewe huyo huyo mshika pembeMimi huyo mshika pembe yelewiiiiii
Lazima nitembelee lindo mkuu.... tehteehhh



haya mkuu..usisahau kichukua lokooNiambie
Huhuhuhuuu...ndio hasara ya kuchelewa vikaoniAhsante sana japo leo nimeambiwa posho sipati