D
Deleted member 485868
Guest
Shemu wako anakuona vile unavyokula ubuyu tuuu kibonge weee

usinikumbushe mieShemu wako anakuona vile unavyokula ubuyu tuuu kibonge weee

usinikumbushe mieWatu wabaya hatare![]()
aisee
Hahahahaha usinipe dhambiiiiSio kwa jibu kavu hilo majibu anayoyapenda Putin hayo
Achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .
Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.
Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.
Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.
Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .
ngoja aje zero hapa hahaaaaaaaaaaaaaahapo vipi shem?
Huku bora upambane pm tu yaishie huko huko ukileta siled iwe unauhakika kabisaWatu wabaya hatare
Hapo poa kabisa shem,akiendelea na usumbufu sasa kazi ni kwakohapo vipi shem?
Mie bana kazi yangu huwa nikuwakumbusha tu hawa jamaawapiii Putin
Hahahaha bebe nilikua najaribu kujenga picha ya huo mtetemoAaahhhhh kutetemeka hadi kucha ilo umeongeza bebe
Hahahahaha usinipe dhambiiii




Si ndio majibu hayo unayoyapendaHahahahahaha aiseeeee usolijuaa..naona bonge la msonyo hahahaha.



na bora asijue muache ajiropokeshe tu hapoIla weee mtoto mbaya jamaaan mpaka umempoteza jamaaa haaaaaEbu niache Putin
Mie bana kazi yangu huwa nikuwakumbusha tu hawa jamaa





Halafu unawakumbusha ya maana kabisa wanajifanya hawakusikiiIla weee naye unapenda mnooo khaaaaaaaahhyaaaaniiii weh acha tu
Tiba..aende hospitalMpe tiba mwenzio,asije akapata kifafa cha kudumu.
Ila weee mtoto mbaya jamaaan mpaka umempoteza jamaaa haaaaa





Msinipe dhambi jamaniHahahahausinikumbushe mie
Atazimikahahahahhahahheheheheheeeeeeeeeeeeiyaaaaaa duuuu yaani unaona tu comment tayari ushazimika sasa ukimuona live itakuwaje hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
jf kiboko