Nikimuacha huyu msichana nitakua nimekosea ?

Nina girlfriend wangu ambae tumedumu kwa muda wa miezi nane kwenye mahusiano na mpaka leo bado tupo pamoja.Mara nyingi huyu mpenzi wangu kabla hatujakutana kimwili huwa kuna vidonge anatumia ambavyo vinazuia yeye kupata ujauzito.

Kutokana na yeye kutumia vidonge hivi mara nyingi imempelekea yeye kuingia kwenye siku zake kwa siku nyingi zaidi kuliko mzunguko ule wa kawaida ambao unakua kati ya siku tatu hadi tano.

Nimemshauri ashike mimba lakini naona kama hayuko tayari kuzaa kwasasa.Nimeshaanza kumchoka sababu siwezi kuvumilia kusubiri kukatika kwa bleed ambayo inanifanya mimi nishindwe kukutana naye kimwili.

Je nikimuacha nitakua nimefanya kosa kulingana na maelezo hayo hapo juu ?
New single mother. coming soon
 
Kwa maisha haya tokea vijana tuwe huru ule utamaduni heshima upendo wa dhati uishe kila mtu ana mwona mwenzake kama mabara
So unatestiwa kwa kila kitu kama itatiki test zake maisha ya sasa ni ngumu kuheshimiana kisa kila mtu yupo huru hujamuoa mimba umpe humjui vizuri hujui wazazi familia kila kitu kuhusu yeye hujui.
Mf. Jf eti kunawalioona wapi uzushi tu nikuchorana.
Kiasi kikubwa kama hujamuona mtu mkakubaliana huo niuongo eti facebook yaani sibure watu wanasema Mungu ndiye anayepanga yote sasa humuoi mtu unataka akuzalie dah , mara mmependana leo kesho tayari .
Mara hujali hata hisia za mtu umeshaamia kwingine kuna watigo wa kumzalisha wakutoka nayr out wakumchuna wakumdekeza naye akudekeze yaani mwanaume anahamsini ukijumlisha na wale wazamani mpaka anachanganyikiwa .
Wanaume isitoshe hili lijinga hapa acheni kutudharau nakama huoni tunahitaji heshima basi endeleeni naumalaya hatujazaliwa mtu nyanyase.
Tumezaliwa kupata mtu sa hihi tuolewe .
Sio mafisi yatule hadi mifupa
 
Nina girlfriend wangu ambae tumedumu kwa muda wa miezi nane kwenye mahusiano na mpaka leo bado tupo pamoja.Mara nyingi huyu mpenzi wangu kabla hatujakutana kimwili huwa kuna vidonge anatumia ambavyo vinazuia yeye kupata ujauzito.

Kutokana na yeye kutumia vidonge hivi mara nyingi imempelekea yeye kuingia kwenye siku zake kwa siku nyingi zaidi kuliko mzunguko ule wa kawaida ambao unakua kati ya siku tatu hadi tano.

Nimemshauri ashike mimba lakini naona kama hayuko tayari kuzaa kwasasa.Nimeshaanza kumchoka sababu siwezi kuvumilia kusubiri kukatika kwa bleed ambayo inanifanya mimi nishindwe kukutana naye kimwili.

Je nikimuacha nitakua nimefanya kosa kulingana na maelezo hayo hapo juu ?
We jamaa bonge la Fala na ndio waharibifu wa watoto wa watu, Kama unataka akupe kila siku na akuzalie kwann haufutai njia sahihi , Peleka posa kwao ukaoe.... Unataka mpa usingle maza then baadaye umeseme vibaya na wamnyanyapae vidume.. Aisee ungekuwa mdogo wangu na makofi ungekula ......bwege sana wewe ...!!!
 
Hahahahahahaha umenifurahisha sana unataka ashike Mimba halafu umkimbie? Funga Ndoa kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom