muna loveNina girlfriend wangu ambae tumedumu kwa muda wa miezi nane kwenye mahusiano na mpaka leo bado tupo pamoja.Mara nyingi huyu mpenzi wangu kabla hatujakutana kimwili huwa kuna vidonge anatumia ambavyo vinazuia yeye kupata ujauzito.
Kutokana na yeye kutumia vidonge hivi mara nyingi imempelekea yeye kuingia kwenye siku zake kwa siku nyingi zaidi kuliko mzunguko ule wa kawaida ambao unakua kati ya siku tatu hadi tano.
Nimemshauri ashike mimba lakini naona kama hayuko tayari kuzaa kwasasa.Nimeshaanza kumchoka sababu siwezi kuvumilia kusubiri kukatika kwa bleed ambayo inanifanya mimi nishindwe kukutana naye kimwili.
Je nikimuacha nitakua nimefanya kosa kulingana na maelezo hayo hapo juu ?
Mbona wewe umenipa kibend na haujanioa??Wee unataka umzalishe kabla hujamuoa?? .
Wanaaume bana, au naww ndo wale wa "" Nataka nipate mtoto kwanza kisha ndo nioe""
Muache ndio kama vipi.
Yakweli hayo?Mbona wewe umenipa kibend na haujanioa??
UnajisahaulishaYakweli hayo?
Hapana , tatizo umesahau lugha zako, ulinipa lugha gongana sana mpaka nashindwa kushika lipi.....Unajisahaulisha
Usichukulie serious natania banaHapana , tatizo umesahau lugha zako, ulinipa lugha gongana sana mpaka nashindwa kushika lipi.....
Sasa binafsi sipendi kuaga ktk limbwi la kutokujua nishike lipi.
Sawa nahili nalo ndio tatizo, baadhi yamambo hupaswi kua namzahaa, mzaha wako utazoeleka alafu siku itakapokua kweli hutoaminiwa na itaonekana pia ni mzaha !![emoji23][emoji28]Usichukulie serious natania bana
Usitie shaka coz haitotokeaSawa nahili nalo ndio tatizo, baadhi yamambo hupaswi kua namzahaa, mzaha wako utazoeleka alafu siku itakapokua kweli hutoaminiwa na itaonekana pia ni mzaha !![emoji23][emoji28]
Duuhhh sawa nmekuelewa zaidi yahapo [emoji22]Usitie shaka coz haitotokea
OkDuuhhh sawa nmekuelewa zaidi yahapo [emoji22]
Nakukubalinmkuu na ile sera yako ya mtoto kila wilayaVijana mna nguvu za kutafuta pesa lkn mnaogopa kulea?!
Mimi nataka kuongeza mtt wa pili sasa nasubiri nipate mama wa kueleweka tu
hapa umenena mkuuGirlfriend abebe mimba!!!
Mbona mnapenda kurahisisha mambo namna hiyo?
Huwazi ndoa ila kuzalisha tu kanakwamba ni mashine ya kutotoleshea.
Dada/wadogo zako wa kike walizalishwa bila ndoa au angalau uchumba?