Nikimpata......

Nikimpata......

Jiandae kufariki dunia kwa presha ya kupanda. Ukimpenda mtu usimpende asilimia 100 bakisha kidogo jipende zaidi mwenyewe. Binadamu wabaya watakuumiza
 
Nikimpata Ha, sitomwacha...

Nikimpata huyu Mtoto MATATA...

Nikimpata mbona mtaipata...

Nikimpata siji tena kutapa tapa...

Maana MTOTO anavyolipa mie hapa NADATA...

Sijawahi mgusa nawaza ni Mtamu kama KASHATA...

Bado sijamgusa ila hapa nimeshadata...

Chochote tu aseme hata akitaka DATA...

Sijawahi kwenda chini...

Usiulize kwanini...

Siongelei MADINI...

Wala machimbo ya MIGODINI...

Kama hukunipata ujue hiyo CHUMVINI...

Nikimpata, mbona nitanenepa...

Nikimpata, mbona mie nitapeta...

Nikimpata, mbona nitaneemeka...

Nikimpata, kamwe sitasononeka...
Kumbe mkuu wewe ni mshairi!? Safi
 
Jiandae kufariki dunia kwa presha ya kupanda. Ukimpenda mtu usimpende asilimia 100 bakisha kidogo jipende zaidi mwenyewe. Binadamu wabaya watakuumiza
Sawa mkuu nmekupata nitafanyia kazi ushauri wako....
 
Yani hayo yote huyo manzi hujampata? First atakukataa tu sababu you are already a looser, you put the lady on a pedestal hence you become weak, hata wanawake wanaojielewa hua hawatakagi watu wanaowaona wapo juu mwanamke siku zote hua anataka mwanaume ambae she can look up to not the looser shit your trying to put on.
 
unaongea nae hadi usiku utasoma saa ngap mkuu na hio ya dinner n lunch we n course gan upo free hvyo
 
Back
Top Bottom