Nikimpata......

Nikimpata......

umemuonyesha au kumwambia huyo mhusika??
au yumo humu?
 
Bora umemkumbusha
i want to fight for true love legend... unajua everyone hata kama anapenda hela kuna mtu ambae yupo na special place moyoni mwake.... I want to be the one.
 
Kichwa cha chini kimetawal kichwa cha juu tu hapa.kichwa kikianz kufany kazi utasahau most of these stuffs
Mkuu nimekuelewa, ila ngoja nione itakuwaje but i want to finish my life with her over.....
 
umemuonyesha au kumwambia huyo mhusika??
au yumo humu?
Mkuu mhusika anajua... And najitahidi sana kuonesha action na kumwambia....too good ijumaa ya kesho tunaoata our first date...
 
Hujampata tayari ushapanga mambo chungu nzima, usipompata je?
Mkuu hii inamaanisha nipo na upendo wa kweli na nimeona uelekeo mzuri....but i will fight for her love no matter how hard she plays with me......
 
K zinakinaisha mkuuu..ni kama msosi wenye mafuta mengi tuu..ukisha kaa nae kwa muda utamuona wa kawaida tu
 
K zinakinaisha mkuuu..ni kama msosi wenye mafuta mengi tuu..ukisha kaa nae kwa muda utamuona wa kawaida tu
Mkuu nitajitahidi nisimchoke huyu bibie...nataka nifanye mambo mengi nae mpaka nishindwe kumuacha....
 
Back
Top Bottom