Nikimpa mimba Mwanafunzi wa secondary mwenye miaka 20+, kifungo kitanihusu?

Kwa serikali hii hata kama ana miaka 45 utafungwa tu. Lakini wa chuo hawatashughulika na wewe hata kama ni wa miaka 13.
miaka kumi na tatu hapana mkuu labda awe na miaka angalau kumi na tano na mmefunga ndoa kama hamna ndoa awe na aghalabu kuanzia kumi na nane (kwa upande wa wanachuo ila sekondary akiwa na umri Chini ya miaka ishirini na tano(25) utakuwa umetenda kosa la kubaka haijalishi ameridhia au la!)

na Sio kumpa mimba sheria inasema

(2) Mtu wa jinsia ya kiume atakuwa ametenda kosa la kubaka kama
atakuwa amefanya tendo la ndoa na msichana au mwanamke chini ya
mazingira ambayo yanadondokea kwenye maelezo yafutayo:

(a) ambaye si mke wake, au awe mke wake ambaye ametengana
nae bila ridhaa yake wakati wa tendo la ndoa;
(b) kwa ridhaa yake, pale ambapo ridha yake imepatikana kwa
kutumia nguvu, vitisho, au kwa kumuogopesha au kumtishia
kumuua au kumuumiza au akiwa amezuiliwa isivyo halali;
(c) kwa ridhaa yake pale ambapo ridhaa yake imepatikana wakati
ambao alikutwa hana akili timamu au akiwa amelewa kwa
kushawishiwa na madawa ya kulevya, kitu au vitu ambavyo
amepewa na mtu au watu wengine isipokuwa ikithibitika kuwa
kulikuwa na ridhaa mwanzoni kati yao wawili;
(d) kwa ridhaa yake pale ambapo mwanamume alijua kuwa yeye si
mume wake, na kuwa ridhaa ilitolewa kwa sababu alifanywa
kuamini kuwa yeye ni mwanamume mwingine, ambaye yeye
mwenyewe, anaamini kuwa ameolewa nae kihalali;
(e) kwa ridhaa au bila ya ridhaa akiwa chini ya umri wa miaka
kumi na nane, isipokuwa kama mwanamke ni mke wake
ambaye ana umri wa miaka kumi na tano au zaidi (asiwe mwanafunzi) na
hajatengana na mumewe.
(3) Mtu yeyote-
(a) akiwa mtu wa mamlaka, kuchukulia kigezo cha nafasi yake ya
mamlaka, na anatenda kosa la kubaka kwa msichana au
mwanamke wa mahusiano ya kiofisi au kwa kukosea anamzuia
na kumbaka msichana au mwanamke;
(b) akiwa kwenye uongozi au kuwa miongoni mwa wafanyakazi wa
mahabusu au sehemu nyingine yeyote ya uangalizi, iliyoundwa
kisheria au kwa taasisi ya wanawake au watoto kwa kuchukulia
kigezo cha nafasi yake na kutenda kosa la kubaka msichana
yeyote au mwanamke mfanyakazi mwenzie wa magereza,
sehemu ya matunzo au taasisi.
(c) akiwa kwenye uongozi au mfanyakazi wa hospitali, kuchukulia
kigezo cha nafasi yake na kutenda kosa la kubaka msichana au
mwanamke;
(d) akiwa mganga wa kienyeji kuchukulia kigezo cha nafasi yake
na anatenda kosa la kubaka msichana au mwanamke ambaye ni
mteja wake kwa nia ya kupata uponyaji;
(e) akiwa kiongozi wa dini kuchukulia kigezo cha nafasi yake na
kutenda kosa la kubaka msichana au mwanamke.
 
sasa ukishafungwa miaka 30 huyo mtoto akizaliwa atalelewa na nani, sheria nyengine hazina mantiki yeyote,huku kwetu pemba sheria hizo hazituhusu,ukimtia mimba mwanafunzi unamuoa tu,sheria kama hizo za vitisho visokuwa na maana ni very primitive,
 
miaka kumi na tatu hapana mkuu labda awe na miaka angalau kumi na tano na mmefunga ndoa kama hamna ndoa awe na aghalabu kuanzia kumi na nane (kwa upande wa wanachuo ila sekondary akiwa na umri Chini ya miaka ishirini na tano(25) utakuwa umetenda kosa la kubaka haijalishi ameridhia au la!)

na Sio kumpa mimba sheria inasema

(2) Mtu wa jinsia ya kiume atakuwa ametenda kosa la kubaka kama
atakuwa amefanya tendo la ndoa na msichana au mwanamke chini ya
mazingira ambayo yanadondokea kwenye maelezo yafutayo:

(a) ambaye si mke wake, au awe mke wake ambaye ametengana
nae bila ridhaa yake wakati wa tendo la ndoa;
(b) kwa ridhaa yake, pale ambapo ridha yake imepatikana kwa
kutumia nguvu, vitisho, au kwa kumuogopesha au kumtishia
kumuua au kumuumiza au akiwa amezuiliwa isivyo halali;
(c) kwa ridhaa yake pale ambapo ridhaa yake imepatikana wakati
ambao alikutwa hana akili timamu au akiwa amelewa kwa
kushawishiwa na madawa ya kulevya, kitu au vitu ambavyo
amepewa na mtu au watu wengine isipokuwa ikithibitika kuwa
kulikuwa na ridhaa mwanzoni kati yao wawili;
(d) kwa ridhaa yake pale ambapo mwanamume alijua kuwa yeye si
mume wake, na kuwa ridhaa ilitolewa kwa sababu alifanywa
kuamini kuwa yeye ni mwanamume mwingine, ambaye yeye
mwenyewe, anaamini kuwa ameolewa nae kihalali;
(e) kwa ridhaa au bila ya ridhaa akiwa chini ya umri wa miaka
kumi na nane, isipokuwa kama mwanamke ni mke wake
ambaye ana umri wa miaka kumi na tano au zaidi (asiwe mwanafunzi) na
hajatengana na mumewe.
(3) Mtu yeyote-
(a) akiwa mtu wa mamlaka, kuchukulia kigezo cha nafasi yake ya
mamlaka, na anatenda kosa la kubaka kwa msichana au
mwanamke wa mahusiano ya kiofisi au kwa kukosea anamzuia
na kumbaka msichana au mwanamke;
(b) akiwa kwenye uongozi au kuwa miongoni mwa wafanyakazi wa
mahabusu au sehemu nyingine yeyote ya uangalizi, iliyoundwa
kisheria au kwa taasisi ya wanawake au watoto kwa kuchukulia
kigezo cha nafasi yake na kutenda kosa la kubaka msichana
yeyote au mwanamke mfanyakazi mwenzie wa magereza,
sehemu ya matunzo au taasisi.
(c) akiwa kwenye uongozi au mfanyakazi wa hospitali, kuchukulia
kigezo cha nafasi yake na kutenda kosa la kubaka msichana au
mwanamke;
(d) akiwa mganga wa kienyeji kuchukulia kigezo cha nafasi yake
na anatenda kosa la kubaka msichana au mwanamke ambaye ni
mteja wake kwa nia ya kupata uponyaji;
(e) akiwa kiongozi wa dini kuchukulia kigezo cha nafasi yake na
kutenda kosa la kubaka msichana au mwanamke.
Dah! Mkuu sikujua kuwa msichana wa miaka kumi na tano anaweza kuwa mke halali kisheria! Umenifungua macho.
 
Mkuu umeweka vifungu safi kusapoti hoja yako pengine ni mjuzi wa sheria,kuna jamaa yangu aliwahi fungwa kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi wa sekondary(18+),tulimchomoa kwa appeal kwa hoja mbili
1. Sheria yetu inamtambua mwanafunzi kwa level ya primary tu ambayo ni elimu ya msingi na LAZIMA. Zaidi ya hapo akiwa under 18 utashitakiwa kwa kubaka hata km ni mwanafunzi wa level ipi.
2. Mtu huyu alikuwa 18+ na alikuwa advanced level by then.
Note: Me si mtaalam wa sheria,hizo hoja aliandaa mshkaji wetu ni wakili tukapeleka mahakamani akaachiwa huru bila rushwa wala chochote.
 
Adhabu zipo aina nyingi, japo makosa yana fanana* Tuanze na ..laawali, msichana wa miaka 17 kurudi chini?" yaani miaka O, ukifanya nae tendo la ndoa , Kw mujibu wa sheria hapa tz Utakuwa umem baka,, pia Ukumbuke hapo hatuja ongelea swala la shule,, Tusonge mbele upande wa pili,, Mwana mme yeyote akibainika kafanya mapenzi na Mwana funzi bila kujali umri wake Utachukuliwa hatua kali za kisheria na uta pandishwa kotini na hakim atakuadhibu,
Akiwa mwanafunzi wa college au university?
Ukimpa mimba kuna kesi?
 
kwa nini unataka kuharibu future ya huyo binti?,au kwa sababu sio binti yako?,elewa u educate a woman ur educating a national,please usifanye hivyo.halafu inaonekana mpaka leo pamoja na kampeni zote hizi wewe bado unaendeleza unsafe sex,wakati AIDS bado ipo na unaishi kwenye nchi ambayo ni less than 20% ya waathirika wana access ya ARVs.
 
Wewe hapo ulipo, huna faida wa maana yoyote katika Jamii,

Ni kama DUDUMIZI.... linatumia Nguvu nyingi kupambana na mtu alie USINGIZINI, wakati linajua fika kuwa, litakuacha pakikucha..!!

Wanasheria wana msemo mmoja, "IGNORANCE of Law is not an excuse"

Unadai kuvuka Daraja, kuelekea katika bweni la Mabinti, kwa nia ya kufanya uovu..!

Za mwizi ni Arobaini...omba tu usije angukia katika Mkono wa Wazazi ama wa Dola...

Majuto ni Mjukuu...tafakari, na chukua hatua..

Tutaomba utupatie mrejesho..
 
Kwa serikali hii hata kama ana miaka 45 utafungwa tu. Lakini wa chuo hawatashughulika na wewe hata kama ni wa miaka 13.
Unajua kuwa kufanya mapenzi na under 18 haijalishi alikupanulia kwa hiari yake, utahesabika umebaka mtoto, adhabu yake unaijua!!
 
kwa nini unataka kuharibu future ya huyo binti?,au kwa sababu sio binti yako?,elewa u educate a woman ur educating a national,please usifanye hivyo.halafu inaonekana mpaka leo pamoja na kampeni zote hizi wewe bado unaendeleza unsafe sex,wakati AIDS bado ipo na unaishi kwenye nchi ambayo ni less than 20% ya waathirika wana access ya ARVs.
Mkuu hivi unajua ladha ya kavu kweli?
 
Wewe hapo ulipo, huna faida wa maana yoyote katika Jamii,

Ni kama DUDUMIZI.... linatumia Nguvu nyingi kupambana na mtu alie USINGIZINI, wakati linajua fika kuwa, litakuacha pakikucha..!!

Wanasheria wana msemo mmoja, "IGNORANCE of Law is not an excuse"

Unadai kuvuka Daraja, kuelekea katika bweni la Mabinti, kwa nia ya kufanya uovu..!

Za mwizi ni Arobaini...omba tu usije angukia katika Mkono wa Wazazi ama wa Dola...

Majuto ni Mjukuu...tafakari, na chukua hatua..

Tutaomba utupatie mrejesho..
The show was quite good na huwez amini sijakamatwa. Mtoto ananiita tena weekend
 
Back
Top Bottom