Nikimpa mimba Mwanafunzi wa secondary mwenye miaka 20+, kifungo kitanihusu?

gasto genaro

JF-Expert Member
Oct 15, 2014
780
554
Wakuu,

Me ni kilaza wa sheria.

Ni wazi kwamba, binti wa miaka 20 tayari ni mtu mzima anayejielewa kabisa na hata kuolewa anaweza kuolewa

Sasa kwa mfano, binti aliyechelewa kuanza shule, na miaka 20+ imemkuta akiwa bado secondary school,, na mimi nikajipigia na kumpa mimba, nitafungwa miaka 30?

If yes, kwanini nifungwe akati huyo ni mtu mzima kabisa nimempa mimba?

Na kama sheria inaruhusu mtu kufungwa kwa kosa kama hilo, hakuna haja ya kuibadilisha?

Ngoja kwanza nivuke hili eneo la bweni la wanafunzi wa kike narudi muda si mrefu..
 
Anayesoma sekondar bado ni mtoto wa serikali,usijaribu
 
Wakuu,

Me ni kilaza wa sheria.

Ni wazi kwamba, binti wa miaka 20 tayari ni mtu mzima anayejielewa kabisa na hata kuolewa anaweza kuolewa

Sasa kwa mfano, binti aliyechelewa kuanza shule, na miaka 20+ imemkuta akiwa bado secondary school,, na mimi nikajipigia na kumpa mimba, nitafungwa miaka 30?

If yes, kwanini nifungwe akati huyo ni mtu mzima kabisa nimempa mimba?

Na kama sheria inaruhusu mtu kufungwa kwa kosa kama hilo, hakuna haja ya kuibadilisha?

Ngoja kwanza nivuke hili eneo la bweni la wanafunzi wa kike narudi muda si mrefu..
Adhabu zipo aina nyingi, japo makosa yana fanana* Tuanze na ..laawali, msichana wa miaka 17 kurudi chini?" yaani miaka O, ukifanya nae tendo la ndoa , Kw mujibu wa sheria hapa tz Utakuwa umem baka,, pia Ukumbuke hapo hatuja ongelea swala la shule,, Tusonge mbele upande wa pili,, Mwana mme yeyote akibainika kafanya mapenzi na Mwana funzi bila kujali umri wake Utachukuliwa hatua kali za kisheria na uta pandishwa kotini na hakim atakuadhibu,
 
Kuna mwanamama mmoja anasoma form five (anaingia six shule zikifunguliwa). Ana miaka 31. Huyo nae akipewa mimba kunakesi?
 
Nasikia serikali imegundua chanjo ya kuzuia mimba hiyo watakuwa wanachanjwa wanafunzi wa kike,hata upenge kamasi vipi mimba haiingii mpaka anamaliza shule ndio mimba inakubali dah haya maendeleo ya sayansi balaa
 
Kifungo kitakuhusu,,maana kitakachosomeka hapo nikwanba *umempa mimba mwanafunzi na umesaidia kukatisha masomo yake. Usijaribu hiyo ni sumu huwa haionjwi.
 
Wakuu,

Me ni kilaza wa sheria.

Ni wazi kwamba, binti wa miaka 20 tayari ni mtu mzima anayejielewa kabisa na hata kuolewa anaweza kuolewa

Sasa kwa mfano, binti aliyechelewa kuanza shule, na miaka 20+ imemkuta akiwa bado secondary school,, na mimi nikajipigia na kumpa mimba, nitafungwa miaka 30?

If yes, kwanini nifungwe akati huyo ni mtu mzima kabisa nimempa mimba?

Na kama sheria inaruhusu mtu kufungwa kwa kosa kama hilo, hakuna haja ya kuibadilisha?

Ngoja kwanza nivuke hili eneo la bweni la wanafunzi wa kike narudi muda si mrefu..
KWANZA UMETENGUA AMRI YA 6
PILI: SIO MKEO KUSEMA UMPE MIMBA
TATU:UMEMKATISHA MASOMO YAKE
NNE: LUPANGO INAKUHUSU
 
Back
Top Bottom