Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,638
- 2,720
Sijui ndio dalili za umasikini hizi au. Yani nikiwa naka pesa kidogo ndani ya nyumba nahisi kama navamiwa vile. So nawaza siku moja Mungu akanibariki nikawa na minoti sijui hali itakuwaje maana haka kalaki tu, usingizi sipati!