Nikilala na Laki Moja Ndani Sipati Usingizi

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,638
2,720
Sijui ndio dalili za umasikini hizi au. Yani nikiwa naka pesa kidogo ndani ya nyumba nahisi kama navamiwa vile. So nawaza siku moja Mungu akanibariki nikawa na minoti sijui hali itakuwaje maana haka kalaki tu, usingizi sipati!
 
Hahahaaaa!! Duuh!! Ni hofu tu inawezekana nyumba unayolala haina mfumo thabiti wa ulinzi. Je kutembea nazo unaweza? au ndiyo nyie mkiwa na hela kidogo kila kona mnaweweseka mpaka vibaka na matapeli wanawagundua na kuwaibia halafu mnabaki kujiuliza, "Wamejuaje nina hela?? Wanatumia madawa wale"
 
sijui ndio dalili za umasikini hizi au. Yani nikiwa naka pesa kidogo ndani ya nyumba nahisi kama navamiwa vile. So nawaza siku moja mungu akanibariki nikawa na minoti sijui hali itakuwaje maana haka kalaki tu, usingizi sipati!

hivi watoto wa mbwa hawapitagi jf??
Make chunga wasije wakakuvamia
 
Hujazoea hela mkuu,inaonekana hela inakutembelea mara chache sana ndio maana unakaa na hela ndani badala ya kuweka benki.
 
Sijui ndio dalili za umasikini hizi au. Yani nikiwa naka pesa kidogo ndani ya nyumba nahisi kama navamiwa vile. So nawaza siku moja Mungu akanibariki nikawa na minoti sijui hali itakuwaje maana haka kalaki tu, usingizi sipati!

Mkuu watoto wa mbwa hawajakusikia? Shauri yako!
 
Sijui ndio dalili za umasikini hizi au. Yani nikiwa naka pesa kidogo ndani ya nyumba nahisi kama navamiwa vile. So nawaza siku moja Mungu akanibariki nikawa na minoti sijui hali itakuwaje maana haka kalaki tu, usingizi sipati!

Utoto na ushamba unakusumbua !!
 
Back
Top Bottom