Nikikumbuka naumia sana

Ananitumia sms za kusema wewe mme mwema umetulia Hauna makuu ila simjibu sms zake
kutumiwa hivo kawaida sio ishu...sasa mwanzo kwani hakuona kwamba huna makuu....huwa hawasomeki...yani huyok kwake unakuwa sasa rough na unamwambia huwezi kuwa naye peke yake au humwambii yani unakuwa bandidu tu...saka mwingine...ila hawa ukiwa mstaarabu sana wanakuona boya watakuacha..ili ukae naye lazima afume ma sms mara amekuta darling mara mpenzi ..yani aone tu sms au akuone na chombo..ukiwa namwanamke akaexperience ndio atakaa na atakupenda zaidi....hawataki innocenttrust me..nilikuwaga so inocne sehemu tena najali yani kilichotokea....sasa nkaona niwe tu vurugu sa hv ninao wengi sana..sijisifii ila life is full of shii
 
Sawasawa chief pamoja sanaa aise
 
Akikutafuta mfungie vioo mkuu. Cha msingi mkule kwanza maana kumpotezea bila kumkula wakati ulishamgharamia sana bado utakuwa umeidhulumu nafsi yako

Pamoja na kumjali kote, amekuona wewe ndio wa kutumia vitu used
Wana JF nyie mnaukubari ushauri huu??mtoa mada usiufuate!!!!
 
Sasa nikimla si anaweza kunipa mtego wa mimba ninase
Kimbiaaa.Atakuja Na Gia mpyaaaa.Mpotezeee kakuchezeaaa sana.Hana akili sana huyo.Hawa ndo wanasababisha Wanaume watuchukie.Wkt tupo wanawake tunaojielewaaaa.Kimbiaaaaa kimbiaaaaaa.Tena mwambie naoa mwezi ujao.Tafuta hata picha ya Binti mrembo mtumie.Akome.Binti mwenye Chura.Mrembo Kumzidi.Pumbafuuuuu!
 
Sawasawa chief pamoja sanaa aise
 
Nigga you were right to look after her but you still love her na ndiyo maana umekuja kuanzisha uzi ili upate approval ya kurudiana naye.

Fanya moyo wako unavyopenda.
Asipoelewa hii atapaswa kucharazwa na mkia wa Faru
 
Ulisahau kuwa mchumba asomeshwi?? Pole sana mpwa,acha nanaye hizo pesa ulizo gawa sahv ungekuwa na vijumba vyako viwili hiv
 
Ulicnganya huruma na mapenzi haviingiliani,unapoamua kumsaidia mwanamke lazima vigezo na masharti vizingatiwe.Akitaka kula lazima aliwe
 
mwenyezimungu amesha sema hawa viumbe,
hawa ni wake zetu,
hawa kaeni nao mbali,
hawa si waminifu kabisha,
hawa watatufanya tuishi maisha ya kiutofauti kabisa.
pole sana mku,ila km bado unampenda na kumuhitaji bado unayo nafasi ya kuli new tena lain yako
 
Haaaahaaaa....nimecheka sana daah!
 
Hemu kua busy na mishe zko hizo cheap soul zitakutia stress bure na kukupotezea mda mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…