Nikikumbuka huwa naumia sana

Nikikumbuka huwa naumia sana

Sasa usiwe unakumbuka ili usiumie

MKUU kumsahau mtu alokuwa anakupa vitu vitamu ni ngumu yaani nikidinda cha kudumu acha kabisa MKUU watu wanamaumivu ni ile mtu unavunga tu
 
Yas mkuu...ndio tabia zangu...
Ukiwa na demu wa permanent kwanza ni very costful ..hata mambo ya familia atakutegemea ww...unashuka kiuchumi

Pili..ukiwa na demu mmoja wa permanent unakosa chaguo la variouties...so unakosa kugundua utamu wa wengine
Na la mwisho kuepuka hayo wanayoita naumivu...mwanamke ni product kila mtu anataka haitumia nawe unatakiwa uifanye bithaa ukitumia una dest huko unatafuta nyingine maisha yanasonga...

Mmmh!!
 
Duuh! Toka tareh 8.7.2013 mpaka leo bado unaumia??????

Mkuu dunia ya sasa hutakiwi kuisimama mguu sawa, unaweza kukatwa mtama ukaangukia meno.

Simama mguu pande, hawa wanawake hawaeleweki kabisa

Hahahaaaa!! MKUU nimeipenda maana nishakula mitama sana lakini sijastukia issue sasa nimeamka
 
Pole sana bila shaka hutorudia makosa ndio ukubwa huo!
 
Pole sana mkuu ila nimefafijika kuwa katika mapenzi mwanaume anaeumia si Mimi tuu, tupo wengi itabidi tuunde chama cha kupambana na uonevu wa mapenzi dhidi ya wanawake
 
Wazee mdada ambae huna ndoa nae yanini umuingie jumla ??? Akistuka umekolea anajichetisha anakuacha umeduwaa kama samaki aloachwa na wimbi
 
Ah wapi kujiendekeza huko! Halafu unaysingizia mapenzi

Hujakutana na unaempenda kutoka rorhoni kwani hutapenda apate shida na una uwezo wa kumsaidia na una lengo la kuishi nae.
 
wanaume wa miaka sijui mikono yao imefungwa vyuma ndio maana wanawake wanawachukulia mazoba ebooo yaani unafumania live live unashindwa hata kuonyesha uanaume wako au huyo jamaa uliemfumania ni bonge la njembaaaa mzee ukanywea ukaondoka bila kuaga
 
wanaume wa miaka sijui mikono yao imefungwa vyuma ndio maana wanawake wanawachukulia mazoba ebooo yaani unafumania live live unashindwa hata kuonyesha uanaume wako au huyo jamaa uliemfumania ni bonge la njembaaaa mzee ukanywea ukaondoka bila kuaga
Kawaida tu mkuu...
 
something much interesting kwenye izi mambo ni kwamba yale maumivu ya kutendwa ndo utamu wenyewe wa mapenzi
 
safi sana kwa kuonyesha uvumilivu na kutofanya fujo..coz maisha lazima yaendelee haina haja ya kuozea jela kwa mambo haya
 
Back
Top Bottom