agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
pole mapenzi hayana mwnyewe
Si mnasemaga walimu ndio wazuri kuoa??!
Walimu ndo wasio faa oa wana wezana wenyewe kwa wenyewe ndo maana ukichunguza utakuta walimu ndo wafanya kazi wa serikali wanao ongoza kwaku oana sababu yakukaa karbu maofisini bila kazi...uwez mkuta mwalimu wakike ambaye ana bwana mwanaume...!!!
mi huwa mtu akishasema namhudumia kila kitu napata wasiwasi na story yake, kumnunulia mtu vijizawadi mara mojamoja wengi hujidai ndo wanahudumia!! ndo maana siwekagi kitu durable alonunua mwanaume hyo hela ntakula, kunywa vitu vya ndani kwa hela yangu labda awe mme wa ndoaa.
umesema ukakuta jamaa anakula mzigo, halafu ukamwambia mtoto afungue, ina maana ulipiga chabo kwanza then ukarudi kuita mtu
"Huwez mkuta mwalimu wakike ambaye ana bwana mwanaume". definition ulikuwa unamaanisha nini hapo?
Jamani pole... Hauna mawasiliano na Mwalimu tena....,
Sa hivi ushapata wa kukufariji baada ya mwalimu kukutendaa