Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
HahahahahaLeo umeamua kutujazia server tu
wapi nitamuona mkuuUtuze siku ukimuona mpe nguo yake.
hivi sket fupi na suruali kipi bora eti maana vimini wanakubalishost nmekuelewa usiutupe fuata roho yako inavyokukataza !huenda iko siku utamuona huyo samaritan !jaman kwenye codes za nguo mie bado siwaelew !namie niliwah kataliwa hvyo hvyo suruali yakitambaa !mxiew
nipo kawaida tu mkuuKumbe umbo lako mashaalah hadi suruali ya kitambaa inashindwa kulidhibiti?
Ulimwengu mtam na mzuri ni wa imagination.
hivi sket fupi na suruali kipi bora eti maana vimini wanakubali
Shemeji kapicha kangependeza...kuna jambo linanitesa sana jamani .
mwaka jana mwanzoni nilienda ofisi moja ya umma kikazi.nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ya kawaida tu ya ofsini. nilipofika getini pale nikazuiwa eti hawaruhusu mavazi hayo . nikashangaa maana sikuwa nimevaa jeans wala kipedo .ni suruali ya kitambaa ya kawaida tu ofsini wala haikuwa imenibana kiivo basi tu labda vile mimi mnene maana niliona wanawake wengine wamevaa wanaingia tu fresh.
wakati wale walinzi pale wananigomea kuna mama akaja akanipa mtandio wa dera umechooka mchafu mchafu ila sikuwa na jinsi maana niliiitaji kitu muhimu sana. nilivoingia ndani nikamkuta mdada mwingine akanipa kitenge kizuri na ule mtandio mchafu nikauweka kwenye pochi maana yule mama aliniambia nirudishe.
nilikaa huko ndani kwa muda .nilipotoka sikumkuta yule mama pale ,nikamtafuta sana sikumuona.nikawaomba wale walinzi niwaachie wakagoma. ikabidi niondoke nao
toka jan mwaka jana ninao . naogopa kuutupa .haufai kabisa umepauka ,nilishaufua ni msafi ila sijui niufanyeje . nikitaka kuutupa naogopa roho inauma najiona kama sina shukrani .
kuna jambo linanitesa sana jamani .