Nikifika Dar nifikie wapi ambapo ndio center ya jiji?

Nikifika Dar nifikie wapi ambapo ndio center ya jiji?

Je, ukifika Dar wapi ni center ya jiji ambako ni rahisi kufika kila kona ya Dar? Zaman nilidhani ni Ubungo.

But nikaoba waataalam mnisaidie.

Wapi n center!
Nenda kawe kwa mwamposa pale
 
Nenda upanga karibu na ubalozi wa Burundi Kuna ukuta mreeeefuuu na miti ulaya kagonge lile geti ni baa kubwa Sana na senta ya kitimoto agiza bia na kitimoto hapo ndo penyewe.
Hivi nyama za kitimoto zinapatika kwa bei gani na maeneo gani dar
Nimeshajizoelea huku mbeya kila mtaa wanachoma nyama kwa elfu nane kilo moja
 
Wakuu naomba nichomekee kidogo..

Lodge/affordable hotel gani kali maeneo ya karibu na mlimani city?
 
Back
Top Bottom