mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Nmecheka sana leo....wejamaaa ni SI unit ya ManundaNenda upanga karibu na ubalozi wa Burundi Kuna ukuta mreeeefuuu na miti ulaya kagonge lile geti ni baa kubwa Sana na senta ya kitimoto agiza bia na kitimoto hapo ndo penyewe.