matimbanyula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 268
- 118
Naombeni ushauri wa kitaalamu nina shida moja kuwa kila nikifanya mapenzi naharibu ratiba yangu ya kwenda haja kubwa tatizo ambalo lina nipa shida sana kwani ratiba yangu ya kwenda haja kubwa ni saa moja asubuhi na nikifanya mapenz naenda haja kuanzia saa saba. Tatizo ni kuwa saa saba natakiwa kulipia huduma ya choo nikiwa eneo langu la kazi