Nikiangalia Rais Biden anavyofuta sera za mtangulizi wake ni wazi Tundu Lissu angeshinda angeirudisha Serikali yote Dsm!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,022
142,065
Natafakari tu.

Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma.

Je, unadhani ni nini Tundu Lissu angekifuta mapema kama angefaulu kutinga jumba jeupe ambacho kingeturudisha nyuma kimaendeleo?

Ninachoamini fly over ya ubungo angeiheshimu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Umeishiwa ya kuandika?
 
Kwa vile kamuamin shoga kwenye serikali yake?
No offence. Kwetu sisi ushoga ni haramu.
Ila kwao hawana shida nalo.

Halijawaharibia uchumi.. halijawashusha kimataifa.. halijawafilisi..
Maendeleo bado yako pale pale.. uchumi bado uko juu..

America wana view tofauti na sisi.. kwao wao hawajali kama mtu ni shoga.. ni single maza.. ni mdudu gani.. hawataki kujua..
Kama huyo mru ni potential candidate na ana qualifications.. wanampa hiyo nafasi.
.
Sisemi tuwaige.. tubaki na tamaduni zetu. Wao wabaki na zao.
 
Chato inherudishiwa hadhi ya wilaya toka hadhi ya Jiji iliyopewa bila kufuata utaratibu.
 
Biden na tundulisu ni watu wasiokaa chungu kimoja. Halaf usimfananishe biden na watu wa ajab ajab
Team Lumumba. Mlisema wapinzani wanawa chelewesha . Mmewatoa lakini bado safari haifanyiki mnaishia kuwalaumu wapinzani !!!

America na Tanganyika wapi na wapi !!

Odhis *
 
Jua kwanza kilichowakimbiza watu dar,dar hakukaliki lkn mizimu haikimbiwi Kama ni muhusika itakufuata hata Ulaya
 
Naona mmeweka CD zote,hadi zimeisha sasa.
Upinzani ni muhimu kwa soko
la ajira hapo Lumumba.
Anyway nimechagua maendeleo.
Sina chama mie.
 
Tundu huyu ni kibaraka
 
Amefuta sera gani? Muachage ujinga! Hujui hata tofauti ya executive orders na policies na policy making! Yaani viazi kama viazi. Kuna vitu wanafundishaga second year varsity! Hata shule hamkwenda?
 


Kutoka chato to Dar?
Not bad idea i say.
 
unawaza watu ambao hawawezi hata kushika ukuu wa mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…