Nikawakuta wanafanya maandalizi...Nikashindwa kuwatambua

Kwa sababu macho na kichwa changu yalikuwa yameshapendeza nikashindwa kutambua hii picha, lakini kuna wengine walisema ni mods wa JF walipokuwa wadogo...... wengine wakasema ni member fulani wa Chitchat walikuwa wakiishi kijiji kimoja huko........

Hebu nisaidieni kutizama.

1114.jpg
lazima hapo kuna erick52
 
Kweli ndio wenyewe! Lakini mbona wamwisho hapo ni kama plato:......................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom