dean of student
Senior Member
- Jun 29, 2015
- 116
- 47
Unataka kuwa mtu mwingine kivipi?nilikuwa naomba kuuliza je kwa upande wa education ni masters ipi ambayo ipo sokoni kwa sasa ambayo nikisomea naweza kuwa ni mtu mwingine. na pia kuna masters za masomo na za uongozii je ipi ni nzuri kusoma?
mkuu nataka kuwa mtu mwingine nikiwa na maana kuwa labda nitaacha kazi ya kushika chaki na kuwa kitengo kingine katika masuala ya elimuUnataka kuwa mtu mwingine kivipi?
Uwe mrefu badala ya mfupi?
Uwe mweusi badala ya mweupe?
Uwe Wa kiume badala ya kuwa wa kike? Uwe mnene badala ya kuwa mwembamba?
( au kinyume cha hivyo hapo juu?)
Watu wengine sijui mnataka muwe shetani [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kila la kheri mkuu! Chukua ushauri Wa lewandoski...ila ukiwa mtu mwingine uwe na roho ya utu tuu...mkuu nataka kuwa mtu mwingine nikiwa na maana kuwa labda nitaacha kazi ya kushika chaki na kuwa kitengo kingine katika masuala ya elimu
Soma huko huko kwenye education ili baadaye uje kuwa Dean of Students... Imekuaje ukatumia hiyo user name? Naipendaga sana hiyo kazi...Na ili maswali yasiwe mengi ngoja nijieleze kidogo. kuwa mimi ni mwalimu wa sekondari nina degree ya education ya masomo ya hist na kisw nilipata GPA ya 3.4 na kwa sasa Nina uzoefu wa kufundisha kwa muda wa miaka 3. ivyo mwaka huu nimepata nafasi ya kwenda kusoma ngazi ya masters ila kiukweli sina uzoefu wowote na wala sijui ni masters ipi ya education ambayo nikisomea itakuwa na tija katika maisha yangu ivyo kwa anaye jua anipe ushauli Ili nisije nipoteza muelekeo.
hyo masters ya mwe m mwenge dah km Degree wanatutembeza masters c ndo nowmar[emoji26] [emoji26]....we uko mkoa gani...? Me ndo naisoma hyo ila najiunga mwez wa 3 mwenge university at moshi..
Kabisaa, bora uwe mjasiliamali tuu, maana M.A leo sidhani inaenda chini ya Ml 10 , sasa JIPANGE kama unazo zote hizo na nia yako ni promosheni si bora ukawe mjasiliamali huku una endelea na kazi yakowhy? unaenda kusoma!!? kama unategemea promotion eti tu umesoma masters sahau!!!
soma kwa sababu za msing zaid otherwise utarud toka kusoma na stress nyingi. na no promition