aiseeee umeshafika ..muda simrefu nitaona manyoyaHebu weka picha tukuine Aniva
nilikuwa nasubiri hili swali nilijua lazima litaulizwa ..heshima yko mkuuWewe ni ke ,ME?
MmhHebu weka picha tukuine Aniva
Mimi nmiekupa like yako ya kwanza kbs JF hopefully utakuwa mchangiaji mzuri na like zijae mpk juu
umeolewa?Habari zenu. naitwa Aniva 25-30's Age
Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
aiseeNifuate pm nikupe mwongozo wa humu JF usije jichanganya ukapigwa BAN
Imeingia?!