Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Huyo ni DabyWe Aniva wewe, halafu mbona kama mwejeji hivi, maana unaijua mitaa yote ya humu JF.... Njoo pm unieleze kimya kimya ulikua unatumia ID gani sitasema kabisa![]()
Huyo ni DabyWe Aniva wewe, halafu mbona kama mwejeji hivi, maana unaijua mitaa yote ya humu JF.... Njoo pm unieleze kimya kimya ulikua unatumia ID gani sitasema kabisa![]()
mmmmmh ushamjua hadi GuDume kazi ipo
Daby kaja kwa muonekano mpya hahaha 2018Huyo ni daby
Hongera mkuuDaaahhhh.
Mungu ni mwema hatimaye nimekaribishwa inbox.
Nakuja mrembo![]()
![]()
![]()
![]()
cc Shunie na wivu wako

PM mimi bado sijaenda, ila nimemuomba yeye aje amekataa.Vumilia tu, pm bado hajaijua huenda hazioni msg huko pm, hebu screen shot hizo msg weka hapa hazione haha
Kwel we umejiunga Jana inaonekanaHabari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age
Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Mzee tuachie na sisi basi![]()
![]()
![]()
![]()
cc Inna
Uskurupkee soma uzi vzurWewe ni ke ,ME?