love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,163
Usijali. Ujumbe ulikuja mahala pasipotakiwaKuhusu nini tena
Usijali. Ujumbe ulikuja mahala pasipotakiwaKuhusu nini tena
Mimi sina mchuchu, wewe ndio ushakuwa mchuchu wanguHusna ndo mchuchu wako
mkemiamkuu usimtishe dada yangu mpendwa... mimi mbona ni mtu mwema sana? tena ukiweza jaribu kupitia kila demu ambaye nime mgegedua.. ukiwa naye mwambie akupe style alizojifunza kwangu. utaenjoy sana.
gudume ndio huyu. Yani dp yake na jina lake mie sina mbavuBado tunaendelea kukuelekeza.Yaani mngejua nilivo wakaiwa sanaa na sometimes nakosa hata ya soda msinge niita 'Mkuu' maana hicho cheo hata sistahiki

Usipeperushe njiwa wangu mkuuKama huna chura hatukukaribishi ng'oo!![]()
Aaahhh nimekuelewa rafiki anguBado tunaendelea kukuelekeza.
Neno ''Mkuu" hapa linatumika kwa mtu yoyote maana hatujuani, na huwezi kujua huyu ni mkubwa zaidi yako au mdogo kwako.
Kwa hiyo hilo neno ni unique kwa matumizi hapa. Ukiitwa hilo neno sio kwamba umekuwa Boss au mtu mwenye hadhi sana.
Sawa, likikutatiza lingine usemeAaahhh nimekuelewa rafiki angu
ILi Ku bold unafanyaje
Kuna uzi unaoelezea ku bold, nimeutafuta bado sijaupata, nikiiupata nitakuletea link ukajifunze.Ku bold Maneno ndo bafo
![]()
gudume ndio huyu. Yani dp yake na jina lake mie sina mbavu
MmeoDaby ndiyo nani?
Nakuona nakuonaSawa, likikutatiza lingine useme
Wacha weeeMmeo