Nikaribisheni

Nikaribisheni

Halaf kingine uwe makini humu jf unaweza chat na mtu ukajua mwanaume kumbe ni mwanamke mwenzio
Ndo mana hata siwaamini Wa humu maana majina yaajabu hata dp zao hazioneshi jinsi gani

Majina niliyoona hapa nimebaki kucheka. Gudume.mshipa.avatar mock.
 
Ndo mana hata siwaamini Wa humu maana majina yaajabu hata dp zao hazioneshi jinsi gani

Majina niliyoona hapa nimebaki kucheka. Gudume.mshipa.avatar mock.
na avatar wanazoweka pia sio wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom