kumbe jana ilikuwa jumamosi mimi sikujua lol. Ngoja niende chachi kwanza
Ndugu,ndio nini kupiga hodi ukiwa mwenyeji?
Naombeni mnikaribishe jamani wana Chit Chat, maana nakumbuka niliingiaga humu bila kuomba kukaribishwa ( nilijiunga nanyi bila hodi )...
Jumapili njema.....
​hahahahaaaaa!!haya ni majani ya pili pili tembo, na pili pili simba dume
Kukaribishwa tu umeshashika remote ya tv na mguu umeweka kwenye meza wageni mna mambo nyie.umeisha chelewa chachi.. nenda jumapili nyingine
Kabla hajampeleka tumwombe Mamndenyi, amchemshie majani flani hivi yanaitwa kipfa uwongo! anywe akiwa mtupu..akili inamrudi
manoah YAMEGEUKA KUWA MA FusoNaombeni mnikaribishe jamani wana Chit Chat, maana nakumbuka niliingiaga humu bila kuomba kukaribishwa ( nilijiunga nanyi bila hodi )...
Jumapili njema.....