Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Naombeni mnikaribishe jamani wana Chit Chat, maana nakumbuka niliingiaga humu bila kuomba kukaribishwa ( nilijiunga nanyi bila hodi )...
Jumapili njema.....
Jumapili njema.....
Zion Daughter miss youTeh teh!! haya bana.
bangi nayo
hua inasababisha
hang'over eeeeeh!!
lov inawezekana yakawa majani mengine siyo hayo. pengine ni majani ya chai
lov inawezekana yakawa majani mengine siyo hayo. pengine ni majani ya chai
bangi nayo
hua inasababisha
hang'over eeeeeh!!