mkhitaryan
Member
- Feb 20, 2015
- 25
- 9
Pole sana ndugu, kwa hyo kwa sasa umebakiwa na mbavu ngapi nzima! Kabla tatizo halijawa kubwa muone daktari.
Jokes ztu??? so unamaanisha humu ndani wamejaa mataira au?
Kumbe ulikuwepo mda mrefu kusoma jokes zetu leo umeamua kutujok kwa hodi du!! nshida