Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Poa ukıja mwananyamala uta2kuta
Mtoko wa Khanga Moko ndembe ndembe kesho ni juu yangu.
usihof mkuu nduka natku pm 2mro jioni tuanzie ambiance................huh
usihof mkuu Nduka natku PM 2mro jioni tuanzie AMBIANCE................huh
Aisee Nduka mi sijakuelewa BANA
na nyie mnachanganya aaaaaaaaaaggggghhhh...............hbu nkalaleOyaa angalia majina, huwezi kunikaribisha mimi mjini, kwanza hapo Ambiance mimi ndio niliwaonesha malaya wale waliokuwa wamekosa soko Jolly Club na Maisha club wahamie.
Karibu hapa katikati ya jiji, kuna Bi Zuhura anaweza kukuunganisha na Nyapu za kila utaifa...Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.
hapa kuna Nduka na Nduka original....kimbembe
Huko charambe hivi ni sehemu ya dar kweli?
Namwona NOT ENOUGH anachungulia, kama yupo nadhani atakukaribisha tu
Charambe + Kitunda + Mwananyamala kwa kopa!
Ni rahisi sana kukufahamu wewe ni mtu wa aina gani! Karibu lakini
mkija dar hasa kwa starehe ni vizuri mkafikia mahoteliini na ma guest houses
mkifikia kwa ndugu,muwape taarifa mapema kuwa mnakuja na msizidishe siku za kukuaa jijini mkinogewa
na mazoea ya huko kwenu msilete huku
mjini hapa hata maji au kwemda msalani ni kwa hela
kila la heri
Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.
<br />usihof mkuu Nduka natku PM 2mro jioni tuanzie AMBIANCE................huh