Nikaribisheni dar wana jf

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
815
Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.
 
Mtoko wa Khanga Moko ndembe ndembe kesho ni juu yangu.
 
usihof mkuu Nduka natku PM 2mro jioni tuanzie AMBIANCE................huh

Oyaa angalia majina, huwezi kunikaribisha mimi mjini, kwanza hapo Ambiance mimi ndio niliwaonesha malaya wale waliokuwa wamekosa soko Jolly Club na Maisha club wahamie.
 
hapa kuna Nduka na Nduka original....kimbembe

Huko charambe hivi ni sehemu ya dar kweli?

Namwona NOT ENOUGH anachungulia, kama yupo nadhani atakukaribisha tu
 
na nyie mnachanganya aaaaaaaaaaggggghhhh...............hbu nkalale
 
Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.
Karibu hapa katikati ya jiji, kuna Bi Zuhura anaweza kukuunganisha na Nyapu za kila utaifa...
 
mkija dar hasa kwa starehe ni vizuri mkafikia mahoteliini na ma guest houses

mkifikia kwa ndugu,muwape taarifa mapema kuwa mnakuja na msizidishe siku za kukuaa jijini mkinogewa

na mazoea ya huko kwenu msilete huku

mjini hapa hata maji au kwemda msalani ni kwa hela

kila la heri
 
Charambe + Kitunda + Mwananyamala kwa kopa!
Ni rahisi sana kukufahamu wewe ni mtu wa aina gani! Karibu lakini
 
hapa kuna Nduka na Nduka original....kimbembe

Huko charambe hivi ni sehemu ya dar kweli?

Namwona NOT ENOUGH anachungulia, kama yupo nadhani atakukaribisha tu

Hapo hata mm wamenichanganya kidogo mkuu,.....ila si unajua ukiwa na chochote kitu kila mtu ni ndugu yako,....kijijini kwetu mtu akiwa anaishi kisarawe na hata kibaha anasema anaishi dar.
 
mkija dar hasa kwa starehe ni vizuri mkafikia mahoteliini na ma guest houses

mkifikia kwa ndugu,muwape taarifa mapema kuwa mnakuja na msizidishe siku za kukuaa jijini mkinogewa

na mazoea ya huko kwenu msilete huku

mjini hapa hata maji au kwemda msalani ni kwa hela

kila la heri

Kwani dar kuna nini tofauti na mikoani,...kama maji,umeme and the like wote tuna nunua,...na hayo mazoea ya mikoani ambayo hayapo dar ni yepi,...mbona na hao ndugu zetu walioko dar wanakuja mikoani kwetu kututembelea na wanakaa kwetu ingawa tumepanga na tunalipa kodi na makochokocho yote,....achana na fikra potofu zisizo na maana kuhusu dar bana,...dar kitu gani zaidi ya miji mingine ' DAR NI KAMA USA'hakuna mwenyeji wala mgeni....labda kama ww ni mzaramo.
 
Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.

Ukiwa unaenda Charambe usikose kupitia pale Kimboka by night Buguruni kwa Mnyamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom