Nikamshitaki Ex girlfriend wangu TCRA au polisi

Nikamshitaki Ex girlfriend wangu TCRA au polisi

Pokea simu. Mwambie ukweli. Na pia mwambie hupendi anavyokutukana. Tumia busara kaka.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Napenda mtu anayetuma msg za matusi tena za kashfa..basi mi namuangalia tu sijibu kitu. Namuongezea hasira!
 
Askari wanashauriana.. kitu cha kwanza mpenzi wako wa sasa hivi ajue kuhusiana na hiyo issue na mwambie kabisa kama huyo alikuwa girl friend wako.. halafu mkaushie huyo anayekutumia sms za matusi
 
1: Fanya kama nilivyo mfanyiaga mimi.
2: Epuka kufanya ugomvi ambao unaweza pelekea chuki na hawa viumbe.
3: Kaa kimya na puuza kilakitu atakacho kuandikia kwenye msg.
 
Hehe wewe jamaaa buana! Siku hizi wanaume nao wanaenda polisi kuwalalamikia wanawake?

brain is the beautiful part of the body.
 
tukusaidie nini ikiwa shida ni zako kila mtu anashida zake
 
Back
Top Bottom