JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,907
- 3,261
KakaKiiza kwa serikali hii tusitarajie chochote, Dr. Magufuli alionekana mzuri baada ya Mzee Mkapa kumuwezesha kufanya kazi, si tumeona alipokuwa uvuvi kazi aliyoifanya lakini JK kama hakuifuraia so hata hapo alipo Mkulu anaweza asimpe pesa ya kufanyia kazi ili aonekane hawezi kazi, kwa ujumla sitegemei chochote kutoka kwa serikali ya JK