Nikaishi wapi Dar hii, nikimbie hizi foleni?

Nikaishi wapi Dar hii, nikimbie hizi foleni?

priority ni pale unapoaamua kutumia Billion 64 kufanya birthday ya mtoto lakaini ukakosa Billion 10 za kumlipia shule! Yote maisha

Inauma sana mkuu. Sometimes it's better not to hear the truth to spare all kind of Aches..🙁
 
Kusema ukweli ukifananisha majiji haya matatu ya Africa Mashariki (Nairobi ,Dar es Salaam na Kampala) ..Dar es salaam inaongoza kwa foleni....Dar kuna foleni kila wakati ,kila bara bara mpaka maeneno ambayo hayakuwahi kuwa na foleni....MABASI yaendayo kwa kasi ni project amabyo mimi sioni itataekelezwaje! ..hayo mabasi yataanzia wapi kwenda kasi..!In short sioni kama kuna hatua za muda mrefu zinazochukuliwa kupunguza au kumaliza tatizo la foleni...nani yuko incharge kwenye hili ili tuanze kumuandama.....
Nilikuwa Nairobi weekend iliyopita .....wenzetu wana projects nyingi sana zinazoendelea ili kuondoa Foleni ..Fly overs zinajengwa nyingi pale mjini na barabara nyingi zinaongezwa ......wanachukua hatua kpunguza foleni
Hebu tusaidiane wakazi wa dar ambao nina uhakika huwa mnatumia angalau masaa 3-6 kwenye foleni kila siku mkienda kwenye mihanganiko yenu..Foleni za kupindukia dar zitaisha lini...?
 
[h=2][SUP]Kusema ukweli ukifananisha majiji haya matatu ya Africa Mashariki (Nairobi ,Dar es Salaam na Kampala) ..Dar es salaam inaongoza kwa foleni....
Dar kuna foleni kila wakati ,kila bara bara mpaka maeneno ambayo hayakuwahi kuwa na foleni....MABASI yaendayo kwa kasi ni project amabyo mimi sioni itataekelezwaje! ..hayo mabasi yataanzia wapi kwenda kasi..!
Inshort sioni kama kuna hatua za muda mrefu zinazochukuliwa kupunguza au kumaliza tatizo la foleni...nani yuko incharge kwenye hili ili tuanze kumuandama.....
Nilikuwa Nairobi weekend iliyopita .....wenzetu wana projects nyingi sana zinazoendelea ili kuondoa Foleni ..Fly overs zinajengwa nyingi pale mjini na barabara nyingi zinaongezwa ......wanachukua hatua kpunguza foleniHebu tusaidiane wakazi wa dar ambao nina uhakika huwa mnatumia angalau masaa 3-6 kwenye foleni kila siku mkienda kwenye mihanganiko yenu..
Foleni za kupindukia dar zitaisha lini...?
[/SUP]
[/h]
 
Mwaka 1972 Waisrael walikuja na master plan ya kujenga njia za juu. walimwambia Dr. Nyerere by 2010, Dar itakuwa haipitiki. Mwalimu Nyerere, kama kawada yake akawona mabeberu, na kufikiri kuwa Dar haitaweza kufikia hatua hiyo kwa kuwa by then, state house ilikuwa inatoa vibali cha kununua magari..

This is what we have today......
 
viongozi wakuu watumie helikopta itasaidia kupunguza foleni embu fikiria marahis wastaaf ,makamu wa rais na waziri mkuu wote wakiwa wanapita jijini dar ni lazima wasimamishe magari
 
Kusema ukweli ukifananisha majiji haya matatu ya Africa Mashariki (Nairobi ,Dar es Salaam na Kampala) ..Dar es salaam inaongoza kwa foleni....Dar kuna foleni kila wakati ,kila bara bara mpaka maeneno ambayo hayakuwahi kuwa na foleni....MABASI yaendayo kwa kasi ni project amabyo mimi sioni itataekelezwaje! ..hayo mabasi yataanzia wapi kwenda kasi..!In short sioni kama kuna hatua za muda mrefu zinazochukuliwa kupunguza au kumaliza tatizo la foleni...nani yuko incharge kwenye hili ili tuanze kumuandama.....
Nilikuwa Nairobi weekend iliyopita .....wenzetu wana projects nyingi sana zinazoendelea ili kuondoa Foleni ..Fly overs zinajengwa nyingi pale mjini na barabara nyingi zinaongezwa ......wanachukua hatua kpunguza foleni
Hebu tusaidiane wakazi wa dar ambao nina uhakika huwa mnatumia angalau masaa 3-6 kwenye foleni kila siku mkienda kwenye mihanganiko yenu..Foleni za kupindukia dar zitaisha lini...?

Mkuu nadhani Kampala sasa wanaongoza kwa foleni. Nairobi kweli wanajenga barabara nyingi na pana. Sisi hapa tumebakia maneno matupu! Foleni za Dsm huwa zinasababisha nimkumbuke Edward Lowassa. Kwasababu hata hii nafuu kidogo iliyopo sasa ilikuwa juhudi yake.
 
parking fee ya angalau 5000 kwa siku inaweza kuwa suluhisho.
 
Labda nami nishauri
hasa kwa mkuu wa nchi
ikiwa atatumia chopa
foleni atatupunguza
Nimeipenda hiyo, but the guy is never innovative.
 
Nasikia na kuona tu watu wakiteseka na foleni, nikitaka kutoka na gari
ni usiku tu dar......mchana natumia motorbike, poleni waathirika.... Nyani Ngabu unajua kuendesha motorbike?
 
Last edited by a moderator:
Swali lijamvini
Mawazo nisaidieni
Nimezidiwa wajameni
Hili jambo laniudhi

Kila upitapo watu kibao
Kila uendako watu kibao
Hakukosea aliyeimba hivyo
Mchizi Mox heshima kwako

Hospitalini foleni
Sokoni foleni
Barabarani foleni
Nitajie pasipo foleni

Pesa zangu zibenki
Nikizitaka kwa foleni
Nakaishi wapi Dar hii
Nikimbie hizi foleni

Foleni zanikuta
Kwa kuwa nashi Dar
Hapa foleni imezaliwa
Mikoani imezikwa

Najua foleni ni sawa
Uungwana kwa waloendedelea
Kwani watu si wanyama
Foleni huleta usawa

Lakini foleni ikizidi
Uvumilivu huwa majaribuni
Na hatari iliyopo
Ni watu kuwa kama Popo

Naomba niishie hapa
Muda wangu umeisha
Niendako ni mbali
Wacha niwahi foleni

pole sana mkuu. kwa mizunguko ya dar foleni haikwepeki,labda ujifungie tu nyumbani hapo hutaona foleni katika eneo lolote....
 
Nasikia na kuona tu watu wakiteseka na foleni, nikitaka kutoka na gari
ni usiku tu dar......mchana natumia motorbike, poleni waathirika.... Nyani Ngabu unajua kuendesha motorbike?

Boflo ulipotelea wapi ?
 
Last edited by a moderator:
Foleni kila Mahali hadi Vyoo vya kulipia Foleni.
 
Back
Top Bottom