Nikaenda kumzika ibilisi wangu....!

Yni hii story imenifanya niwe mdogooooo kama nukta, ila why watu wengine wanakutana na watu waaminifu sana ila wao wanakuwa wanawafanyia mambo yasiyostahili kulingana na uaminifu wao?? sisi binadamu tunahitaji neema ya Mungu tu katika maisha yetu otherwise hutakaa ukamuamini mtu yeyote huku duniani......
 
Kiukweli ndo maana mie huwa nasemaga usiusemee moyo wa mtu.....

Na hii mzee mwenzangu Mtambuzi ndo yaleyale ya kinamama wa JF ambao wanapiga kelele kuwa wanaume ndo tunacheat ila wao hawacheat. Sasa mambo kama haya...dah! Inakuwaje unafanya maasi afu unaleta ushahidi nyumbani? (utanifanya nikapekue vikabrasha vya bimkubwa asee)

Natamani sana kusikia TAMWA wa JF kina Nyamayao, carmel, gfsonwin, BADILI TABIA, nyumba kubwa, MwanajamiiOne na mshkaji wangu Kongosho wanasemaje. Na yale macelebrity ya MMU kina Mbu, TIMING na Dark City yatalipua nini kwenye huu mkasa wa kufadhaisha sana....:pray:

...mzee mwenzangu, kuna pahala pameandikwa "muishi na wake zenu kwa akili!"...

Enhee....huu mkasa haufadhaishi sana iwapo unazingatia huo wosia wa kale...."Uishi na mkeo kwa akili!"
 
Last edited by a moderator:
Habari hii iliwahi kuandikwa kwenye gazeti la Jitambue.

Hivi Mzee Mtambuzi! Baada ya kufa Munga Tehenani na haya magazeti ya Jitambue na Ushauri nayo yalikufa? Ni moja ya magazeti niliyoyapenda sana.
Vipi unalo linaloongelea nguvu za ziada zisizo za kibinadamu kwa dada wa mikoa ya kanda ya ziwa au uye mzee wa Pemba mwenye kuiona kesho?

Bazazi
 
Last edited by a moderator:
...mzee mwenzangu, kuna pahala pameandikwa "muishi na wake zenu kwa akili!"...

Enhee....huu mkasa haufadhaishi sana iwapo unazingatia huo wosia wa kale...."Uishi na mkeo kwa akili!"

Mbu big up mno...

haujawahi kuni disappoint....

hii story ni typical ya 'mume *****' story

huyu jamaa alifanya mistakes nyiingi na yeye alidhania ni sifa

eti sijawahi 'kukorofishana na mke wangu' hata siku moja

na yeye anafikiri hiyo ni sifa.....kumbe ndo ubwege wenyewe ulipo

alikuwa 'a door mart' kwa mkewe kila anachoambiwa anatii..

nafasi yake kama mume na kiongozi wa familia ilichukuliwa na mkewe
ndo maana mwisho hadi mkewe anamletea 'vibuzi' wamuuzie gari kizushi na yeye hastuki

hadi unakaa ndani eti droo za chumbani hazifunguliwi kwa miaka nane

na wewe unaona eti sawa...

kwa vyovyote mkewe alimpiga marufuku 'kugusa droo' hizo

hadi unabambikiwa mtoto machale hayakushutuki....

unless hiki kisa cha kutunga

but ukweli huyu jamaa ni ***** mno
 
Last edited by a moderator:
Huyu mama naye alikuwa mwizi mjinga anaweka ushahidi na kumbukumbu za nini?

Inasikitisha sana pale unapomthamini mtu na upo tayari kwa lolote ukidhani it is mutual kumbe mwenzio anakushangaa.

Kweli kifo kinaumbua sana...

Mh lakini kuweka madude yote hayo ndani kwalipi haswa?

Yawezekana kweli aligundua mumewe ni bushoke. lol
 
Kiukweli ndo maana mie huwa nasemaga usiusemee moyo wa mtu.....

Na hii mzee mwenzangu Mtambuzi ndo yaleyale ya kinamama wa JF ambao wanapiga kelele kuwa wanaume ndo tunacheat ila wao hawacheat. Sasa mambo kama haya...dah! Inakuwaje unafanya maasi afu unaleta ushahidi nyumbani? (utanifanya nikapekue vikabrasha vya bimkubwa asee)

Natamani sana kusikia TAMWA wa JF kina Nyamayao, carmel, gfsonwin, BADILI TABIA, nyumba kubwa, MwanajamiiOne na mshkaji wangu Kongosho wanasemaje. Na yale macelebrity ya MMU kina Mbu, TIMING na Dark City yatalipua nini kwenye huu mkasa wa kufadhaisha sana....:pray:

Hapo penye red unataka kupata heart attack weye.lol!
La nini kulifumua gonjwa kubwa kama hilo kwa kujitakia.
 
Mbu big up mno...

haujawahi kuni disappoint....

hii story ni typical ya 'mume *****' story

huyu jamaa alifanya mistakes nyiingi na yeye alidhania ni sifa

eti sijawahi 'kukorofishana na mke wangu' hata siku moja

na yeye anafikiri hiyo ni sifa.....kumbe ndo ubwege wenyewe ulipo

alikuwa 'a door mart' kwa mkewe kila anachoambiwa anatii..

nafasi yake kama mume na kiongozi wa familia ilichukuliwa na mkewe
ndo maana mwisho hadi mkewe anamletea 'vibuzi' wamuuzie gari kizushi na yeye hastuki

hadi unakaa ndani eti droo za chumbani hazifunguliwi kwa miaka nane

na wewe unaona eti sawa...

kwa vyovyote mkewe alimpiga marufuku 'kugusa droo' hizo

hadi unabambikiwa mtoto machale hayakushutuki....

unless hiki kisa cha kutunga

but ukweli huyu jamaa ni ***** mno

... The Boss, wahenga walisema kua uyaone. Love is not 'blindness' bana, ni sie wenyewe tunajiziba macho kwa hiari zetu wenyewe...

...sina haja kurudia ulicho quote, mf. Kuuziwa gari, kufungwa kabati nk....

...hii story hata kama ni ya kutunga, ukweli ni kwamba kuna mib.wege mingi tu, wake kwa wanaume wanao 'Misukul-iwa' mchana kweupe....

I Hate To Love Again aisee,....acha ni play safe mpaka kifo kitaponitenganisha na hii dunia. Ni karaha tupu mapenzi haya ya 'mshumaa'....(kuwamulikia wenzio, wewe unateketea) :mad:
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimependa sana hii habari, kitabia... binadamu wengi ndivyo tulivyo, tuna siri nyingi sana, tuna matamanio yaliyopitiliza na ujanja uliokubuhu

waweza kuta huyo mama aliweka hayo makabrasha yote mbali sana, lakini just a day before death akayachukua ayahamishe (si ajabu akirudi tu toka chalinze), lakini Mungu mkubwa. sishangai, sishtuki na katika maisha yangu nina kama 30% ya expectations kama hizo kwa kila mtu nimuonae

now back to topic
je huyo baba hana yake??
huyo mama kwanini atunze yote hayo tena ndani ya nyumba ya mumewe (kama ni kweli)
ina maana jamaa si mjanja kiasi cha kuhisi chochote?? au mama alikua mjanja sana??

NGOJA NISOME MAONI YA WATU NA MIE NIWE IN-SYNC

anyway ngoja nitafakari............... ila ingekua mwanaume amefanya yote hayo, tungesikia maneno humu
 
...mzee mwenzangu, kuna pahala pameandikwa "muishi na wake zenu kwa akili!"...

Enhee....huu mkasa haufadhaishi sana iwapo unazingatia huo wosia wa kale...."Uishi na mkeo kwa akili!"
NA HUO NDIO UKWELI

manabii hawakumwangusha muumba kusema hayo
 
Loh loh loh!........... Mtambuzi nimeisoma hii habari huku nimeshikilia pumzi, sasa najiuliza kuna wa kumwamini kweli duniani? Kama hawapo wa kuwaamini tuishi vipi na wenzetu huku tukiwa hatuna imani...............inachanganya kwakweli

kama huna imani basi unatakiwa kuishi bila imani hviyo hivyoooooooo
 
Mimi nimependa sana hii habari, kitabia... binadamu wengi ndivyo tulivyo, tuna siri nyingi sana, tuna matamanio yaliyopitiliza na ujanja uliokubuhu

waweza kuta huyo mama aliweka hayo makabrasha yote mbali sana, lakini just a day before death akayachukua ayahamishe (si ajabu akirudi tu toka chalinze), lakini Mungu mkubwa. sishangai, sishtuki na katika maisha yangu nina kama 30% ya expectations kama hizo kwa kila mtu nimuonae

now back to topic
je huyo baba hana yake??
huyo mama kwanini atunze yote hayo tena ndani ya nyumba ya mumewe (kama ni kweli)
ina maana jamaa si mjanja kiasi cha kuhisi chochote?? au mama alikua mjanja sana??

anyway ngoja nitafakari............... ila ingekua mwanaume amefanya yote hayo, tungesikia maneno humu

Kamanda, .....kwa mtazamo wako, marehemu 'angeficha' wapi hizo memorabilia za utupu na hao hawara zake?

Unakumbuka picha za Mrembo Nsia mpaka zikavujia kwenye Ze Utamu? ---- laptop! dnt mention it....wakale walisema "za mwizi arobaini!" uloandikiwa kufumaniwa nalo linasubiria Arobaini yake kaka......."you will never walk alone!" Swahiba ;)
 
na ndio hoja niliyoweka, waweza kuta alishaficha miaka nenda miaka rudi, lakini siku alipoingiza tu ndani ya paa, hamad!! kitu kikajipa. let me tell you some bro, wanawake wanajua kulindana, waweza kuta hata mkeo ana nyumba na magari, lakini vyote viko kwa dada, mama na mashoga zake.....

habari haijanishtua, kwani wengi wa wake zetu wana usiri na ni malaika kwenye sura zetu, na iwe hivyo ili sisi na waototo wetu tuishi kwa amani....

YNWA....
 
Ha ha haha....sawa shk
 
Back
Top Bottom