Nikaenda kumzika ibilisi wangu....!

Moyo wa binadamu ni kichaka, unajaza mambo mengi na siri za ajabu. Tatizo huja pale siri inapovuja. Wanandoa wajitahidi kuwa waaminifu katika ndoa zao. Kila mmoja akae akijua Mungu hamfichi mnafiki, hata ukijifanya unajua kutunza/kuficha maovu yako; elewa kuna siku kila kitu kitakuwa hadharani na kinaweza kuleta madhara makubwa. Wana JF badilikeni kupitia habari hii.
 
Kiukweli ndo maana mie huwa nasemaga usiusemee moyo wa mtu.....

Na hii mzee mwenzangu Mtambuzi ndo yaleyale ya kinamama wa JF ambao wanapiga kelele kuwa wanaume ndo tunacheat ila wao hawacheat. Sasa mambo kama haya...dah! Inakuwaje unafanya maasi afu unaleta ushahidi nyumbani? (utanifanya nikapekue vikabrasha vya bimkubwa asee)

Natamani sana kusikia TAMWA wa JF kina Nyamayao, carmel, gfsonwin, BADILI TABIA, nyumba kubwa, MwanajamiiOne na mshkaji wangu Kongosho wanasemaje. Na yale macelebrity ya MMU kina Mbu, TIMING na Dark City yatalipua nini kwenye huu mkasa wa kufadhaisha sana....:pray:
 
Last edited by a moderator:
Heri yangu mie, I don't trust anyone! I don't even trust the pope! I look up to God, and only Him I trust!

Hivi ulishafikiria siku mwenza wako akifariki kimya kimya (malaria ya 3 days hivi), ukabakia na simu yake ile isiyo na password... Ulishawaza utaona msg za aina gani? Hata staki kujua! Akifa tu chip navunja vunja, blackberry na iPhone I keep, ile ya kwenye gari isiyoshukaga nampa hgeli! Maisha yaendelee! Mwili wake, au-utilize kadri awezavyo (nimejikubalisha)
 
Huyo mwanamke naye aliharibu, Atafichaje mabomu chumbani!
Zinduna nimejiuliza sana je walikuwa hawashei hizo droo,na je alijua lini litabumbuluka? anyway its safe for her jamani,haaya mambo yapo sana Mtambuzi haza huku mjini unakuta mwanamke au mwanaume kawekeza kweli kweli kila kona ila wandani wake hajui.
 

Nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda. Ukweli ni kwamba tulikuwa tukiaminiana sana na mke wangu

Kilichonitokea mimi ni bahati mbaya na ninaamini kama marehemu angeendelea kuishi ni lazima ningekuja kumnasa.
Usimngemnasa hata kidogo.
 
LOL....Sina hamu kwa akili na tamaa aliyokuwa nayo marehemu huyu na MUNGU kamwonyesha uwezo wake, mzigo wa DHAMBI yake ndo imekatiza uhai wake.
 
Gustavo asante kwa hii story..yaani jamaa ilibidi ajikaze kisabuni maana muhusika hayupo tena hata kumkabili dhidi ya hivyo vitu..Hii inaumiza zaidi maana daima kumbukumbu ya kusalitiwa na marehemu mkewe itazidi kumtawala.
 
Gustavo asante kwa hii story..yaani jamaa ilibidi ajikaze kisabuni maana muhusika hayupo tena hata kumkabili dhidi ya hivyo vitu..Hii inaumiza zaidi maana daima kumbukumbu ya kusalitiwa na marehemu mkewe itazidi kumtawala.
BelindaJacob hii ndiyo ilikuwa kesi ya Ijumaa hii, kwa hiyo usinidai kesi Ijumaa ikifika........................LOL
Ni mkasa ambao unasikitisha lakini unafundishan sana wanandoa na kama mwanandoa anakula chocho kinyemela, akisoma huu mkasa ni lazima ataanza kujitathmini upya na kama asipobadilika basi huyo atakuwa ni mwanamke Gube gube au Mwanaume Fisadi wa mapenzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom