King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,309
- 98,946
Kazi nzuri Richard, dondozi na changanuzi murua sana hizi. Umenipa exposure na kustrengthen ego yangu ndugu.
Ndugu sidhani kama napaswa kukushirikisha mambo mengi yahusuyo faragaha yangu ila kwa taarifa tu mimi ni kijana umri miaka 27.
Lengo kubwa la mimi kutaka kwenda ugahibuni si kwa ajili ya kupata fedha na mali nyingi saaana, hapana!! Nina authentic passion ya kutaka kuishi na jamii yangu tofauti na hapa nyumbani lengo likiwa ni kusikia sauti mpya, lugha mpya, Tamaduni mpya, Imani mpya n.k hii ndio tafsri yangu ya mimi kuwa na furaha ikizingatiwa kila mtu ana tafsri yake linapokuja suala la kuwa na furaha, amani na mafanikio maishani. Mfano kuna baadhi ya makabila hawahitaji kuwa na fedha nyiingi kuwa na furaha na mafanikio maishani bali ng'ombe pekee zinatosha kuwapa furaha na mafanikio.
Sijui umenipata mkuu.
si kila mtu amesoma kwa kodi zako wengine hatujawai kula kodi yako ata sh 1
Mkuu Kwa hizo Pesa TZ 7, Millioni ni ndogo sana kwa kuamuwa kuja huku Ughaibuni Kwa Sheria za kujaHabari gani wangugu?
Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k
Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..
Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.
Karibuni!!
Bibie hujambo lakini?MziziMkavu njoo umpe muongozo kijana, manake naona watu wamemkatisha tamaa. Milioni 7 asije akaamua kuolea mke kijijini akamleta mjini wajanja wamdoelezee.
Habari gani wangugu?
Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k
Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..
Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.
Karibuni!!
MziziMkavu njoo umpe muongozo kijana, manake naona watu wamemkatisha tamaa. Milioni 7 asije akaamua kuolea mke kijijini akamleta mjini wajanja wamdoelezee.
Nitumie hizo hela nifanye mpango uje...
Style uliyotumia kuiomba hela ni typicaly ya kitapeli bw tuko...umenipa mashaka kidogo, njoo tena na convincing words tafadhali
Mkuu Kwa hizo Pesa TZ 7, Millioni ni ndogo sana kwa kuamuwa kuja huku Ughaibuni Kwa Sheria za kuja
Ulaya ili uweze kupata Viza ya kuja huku.Jambo la kwanza uwe na Account ya Bank huko nyumbani hiyo Account yako
ya Bank iwe na Pesa kama ni za
Ki-Tanzania Si chini ya TZ Shs 30 Millioni. Kama ni pesa ya Euro unatakiwa uwe nayo kiasi cha Euro Elfu 15. Kwenye
Account yako ya Bank ndio ufanyiwe mpango wa kuweza kuja huku. Yaani uletewe barua ya mualiko na huyo mtoa baraua ya
mualiko itabidi umlipe pesa anazo taka kama ni Euro au pesa za Dollar. Kwa Ushauri wangu kama unafanya biashara
zinazoweza kukuingizia pesa huko kwa mfano kila mwezi unaweza kupata faida ya TZ Shillingi 1 Millioni ningelikupa
ushauri eidha uishi huko huko uendelee na Biashara yako kuliko kuanza kutafuta Safari za kuja Ulaya kutafuta Maisha.
Maisha ya huku nje ni magumu kama huna Elimu ya kisomo cha kutoka Chuo kikuu huwezi huku kupata kazi kiurahisi sio
rahisi kupata kazi. njia ya huku kufika kama kiurahisi kama wewe bado hujaowa ni kumpata mtu wa huku akakutafutia
mke wa kizungu ukamuowa ndio njia ya kuweza kupata viza na kuja huku kivingine utapoteza fpesa zako na hata
ukifika huku utaanza upya maisha ingawa utaweza kufanikiwa lakini itachukuwa muda mrefu mpaka umpate mdhamini
wa kuweza kukdhamini ukitaka maelezo mengine zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie baruwa ya pepe
Address
yangu hiim hapa fewgoodman@hotmail.com
Bibie hujambo lakini?
Graduate ana millioni saba anataka kwenda kubeba boksi Mashariki ya mbali (halafu hajui hata mashariki ya mbali ni wapi), TUNAHITAJI KUANGALIA UPYA MFUMO MZIMA WA ELIMU NA WOTE TULIOWAPA DHAMANA! Hiyo 7M hapa bongo ukifanya kweli utakuwa na zaidi ya 80M ndani ya mwaka mmoja tu! Kama unaenda matembezi hiyo pesa yako ndani ya wiki unarudi bila kitu mfukoni! CHAGUO NI LAKO.
USA ni nchi nzuri na Ina opportunity haswaaa ukitulia na kuacha ndoto za utajiri wa harakaharaka.Usa ni no 1 Duniani kwa uchumi na opportunity sasa ukijifanya unataka kuishi Kama wamarekani WENYEWE haya .Fanya Kazi save your money .USA Gari ni necessity sio luxury Kama bongo .Gari Nunua cash na chukua kistudio.save more than spending .Huna haja ya cable ya channel 2000 basic cable inatosha utaishi maisha ya raha.Hang around positive constructive people they will lift you up ,uswahili negativity na umbea vitakurudisha nyumba .Tafuta girlfriend or boyfriend mwenye uwezi asiye kuchuna na kukuongezea bill.WEAR CONDOM mambo ya kuzaa bila mpango child support itakumaliza.MARRY A RICH PARTNER kimbia watu maskini .Mara nyingi mijitu maskini Ina roho mbaya .Good luckHabari gani wangugu?
Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k
Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..
Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.
Karibuni!!
Jamani wengi wenu hamjamwelewa mleta mada. Yeye amesema na ameweka wazi kuwa anataka overseas exposure particularly kwenye hizo nchi alizozitaja. Kuanza kumkejeli sio jambo la busara. Msaidieni kimawazo afanye nini ili atimize lengo lake. Hajasema anataka biashara sasa nashangaa kwa nini wengine muanze kumwambia eti hizo 7m. alizokuwa nazo kwa nini asitumie kama mtaji wa kuanzisha biashara. Mnajuaje akifanikiwa kupata hiyo exposure anayoitaka may be itamsaidia kwa mambo mengi including hizo biashara mnazomshauri afanye upon his return to bongo?
USA ni nchi nzuri na Ina opportunity haswaaa ukitulia na kuacha ndoto za utajiri wa harakaharaka.Usa ni no 1 Duniani kwa uchumi na opportunity sasa ukijifanya unataka kuishi Kama wamarekani WENYEWE haya .Fanya Kazi save your money .USA Gari ni necessity sio luxury Kama bongo .Gari Nunua cash na chukua kistudio.save more than spending .Huna haja ya cable ya channel 2000 basic cable inatosha utaishi maisha ya raha.Hang around positive constructive people they will lift you up ,uswahili negativity na umbea vitakurudisha nyumba .Tafuta girlfriend or boyfriend mwenye uwezi asiye kuchuna na kukuongezea bill.WEAR CONDOM mambo ya kuzaa bila mpango child support itakumaliza.MARRY A RICH PARTNER kimbia watu maskini .Mara nyingi mijitu maskini Ina roho mbaya .Good luck