MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,167
Computer Science is a systematic and logical approach to discovering how things in the computer and its contents work.
IT(Information Technology) is the application/Use of computers to store, retrieve, transmit and manipulate data, or information
Kimsingi ni kwamba CS imejikita zaidi katika kufahamu Utaratibu na Namna ya computer inavyofanya kazi na viambata vyake.
While IT imejikita katika matumizi ya hiyo computer yenyewe (Matumizi ya mifumo(systems) kwenye kuhifadhi na Kuchakata taarifa, hii inaweza kuwa kwenye maeneo tofauti.
NOTE: Kwa huko Tanzania, Computer Science huwa haifundishwi kwa viwango vitakavyowawezesha wahitimu kuwa na Uwezo wa ku-deliver uelewa wao, sababu kubwa ni kwamba Computer science lengo lake ni kusoma utaratibu na tabia za computer hii huwa inahitaji maabara zinazijitosheleza of which kwa TZ sijaona labda kama ipo siku izi. Ila IT lengo lake liko kwenye Habari na Mawasiliano of which resource za kufanikish adhma yake zinapatikana.
Kwa nchi kama Marekani/India LAB ya CS na IT ni tofauti kabisa kwenye resource zilizoko Lab ila kwa TZ niliona hakuna tofauti kwenye LAB na practise, ila kwenye Content za theory ndio utaona Tofauti.
Simply ni kwamba ukisoma Computer science kwa Tanzania utkuwa na nadharia nyingi kuliko vitendo ijapo kuwa kama ukiwa na jitihada binafsi utaipata hiyo inayoitwa IT ijapokuwa ulichagua CS.
Kama uko Home, soma tu IT ila hakikisha unaweka jitihada binafsi kwenye vitendo na jitahidi uwe mbunifu. IT wengi africa sio wabunifu. Huu ni ulimwengu wa Teknolojia ya Habari na mawasiliano ukiwaza kwa kona hiyo utatoboa.