Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

Acha kumpoteza dogo kwenye masuala ya technology udom ni zero kabisa.
Kwenye computer science chuo kizuri.
DIT
IFM
UDSM
At least wako vizuri.
Au aende pale science kinondoni watu wanapiga programing, wana develop system za company kama TIGO. Watamshauri kitu kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye vyuo ulivyotaja wana kozi ya software engineering?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye vyuo ulivyotaja wana kozi ya software engineering?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama kuna direct course ya SW engineering ila kuna vyuo mnasoma wote computer science hlf mna split second year kutokana na optional course utakazochagua kuna wanaokuwa Software engineering hawa wanaochagua high level programming languages, object orirnted -java n.k hlf wengine wanao opt kusoma may be IT security n.k. wanakuwa upande wa Information Systems.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye vyuo ulivyotaja wana kozi ya software engineering?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Sina uhakika kama zipo ila shida ni kwamba baada ya kuhitimu anaweza kuwa innovative kwenye programing au ndo atatoka ka kiazi tu hajui chochete. Mshauri chuo na course ambapo akimaliza anaweza kutengeneza kitu ambacho ni marketable in technology.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama kuna direct course ya SW engineering ila kuna vyuo mnasoma wote computer science hlf mna split second year kutokana na optional course utakazochagua kuna wanaokuwa Software engineering hawa wanaochagua high level programming languages, object orirnted -java n.k hlf wengine wanao opt kusoma may be IT security n.k. wanakuwa upande wa Information Systems.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi unachosema ila Nilikua naongelea pure SW Engineering!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila shida ni kwamba baada ya kuhitimu anaweza kuwa innovative kwenye programing au ndo atatoka ka kiazi tu hajui chochete. .

Kumbe unaamini hata ukisoma dit ...udsm..udom...ifm unaweza kuoka kapa kama hujitumi??

Sasa kwann unasema udom hawafai kama unaweza kusoma ifm au udsm ukatoka kapa??

Anyways...Nilikua naongelea Software engineering ambayo kwa tz inapatikana udom pekee!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IT inahusika na technology mbalimbali zinazotumika kusapoti information.Technology hizi zinatumika kucapture data, kuprocess, data, kupresent data, kuhifadhi data na kudistribute data,pia hata kushare hizo data.

Computer Science yenyewe inahusika na nadharia za kimahesabu zinazohusiana na
Namna Computer inavyopangiliwa,kwa upande wa software na hardware na namna gani vitu hivi viwili vinaingiliana kushirikiana kufanya kazi kwa pamoja.
Kwenye comp Science unasoma discrete maths, algorithm,logic,mambo Ya automata na mengineyo. Haya yote ni muhimu katika mambo computations na yanakusaidia sana unapokuwa unatengeneza software(programming).
Kwenye computer Science unasoma jinsi Computer inavyotumia logic na algorithm mbalimbali katika ufanyaji wake wa Kazi.

Moja Ya kitu cha awali ambacho utakigundua Ukisoma computer Science utaelewa jinsi computer inavyotafsiri namba tofauti na mwanadamu mfano:
1=00000001
2=00000010
3=00000011
Hizi zinaitwa binary digits ndio zinatumiwa na computer kutafsiri namba.

Dogo karibu sana kwenye idara yetu cha msingi use vizier kwenye physics na mathematics
 
IT au information technology inadeal na watu, software, hardware na kusaidia biashara..
Ndani ya IT kuna computer science, information systems, information science, library systems, computer systems etc..

Computer science msingi mkubwa ni hesabu na high level programming kama Java, C#, python na wengine. Kuelewa zaidi about tatizo, huwa anatumia UML diagrams etc..
Computer systems inakuwa inagusa programming, electronics kidogo na hesabu za logic..
Information systems inakuwa ni programming za C#, Vb lakini kikubwa ni kujua biashara inakuwa assessed vipi kutumia system analysis and design..

Information science huwa inakuwa linked na library. Hawa wanajifunza programming kujua basics ila tegemeo kubwa ni graphics na storing of metadata..

Baada ya minor analysis hiyo, software engineering mara zote ni course kama database, website designing etc.. kikubwa kwenye software engineering ni kujifunza kunyambua system ili a programmer, database analyst, network specialist, etc waweze kukamilisha na submit a working system.. software engineering kwa computer science ni sawa na system analysis and design kwa mtu wa information systems..

Kama una passion ya programming (wachache sana huwa nayo) nenda computer engineering, minor iwe masomo ya information systems..

Kuhusu chuo, nimeona watu wa vyuo vya tech wazuri kwenye programming na networking ila wanasumbuka kuelewa theory.. vice versa inaaply vyuo vya kawaida..
jiweke karibu na watu wa biashara na siku zote waza, what can I do kuwasaidia with a system??

*don't mind typo, kikubwa ujumbe umefika*

Asante mkuu, ila computer engineering nayo c tofauti na computer science?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu, ila computer engineering nayo c tofauti na computer science?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia, computer engineering ni somo ndani ya degree ya computer science..

Baadhi ya vyuo vimenyambua masomo na kugeuza kuwa degree..

Ukiweka mtaala (curriculum) ya software engineering na ya computer science utaona masomo mengi yameingiliana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo IT Imo ndani ya computer science.
Computer science Ina wigo mpana wa kusoma mambo mengi ambapo mtu wa IT hasomi.
Dogo ni sawa na mtu anaesoma BAM na mwingine Advanced Mathematics ukasema wote wamesoma mathematics.
IT is like BAM while computer science is Advanced mathematics.

Sent using Jamii Forums mobile app
Not true...ever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
public class Demo
{
Public static void Main(String [args])
{
System. Out.println("JF");
}
}

Hii juu ni programming language gani?

Na hii chini je ni formal language gani?

[HASHTAG]#include[/HASHTAG] <stdio. h>
Int main(void)
{
printf("%s","Jamii Forum"l);
Return 0;
}
 
Back
Top Bottom