Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

public class Demo
{
Public static void Main(String [args])
{
System. Out.println("JF");
}
}

Hii juu ni programming language gani?

Na hii chini je ni formal language gani?

[HASHTAG]#include[/HASHTAG] <stdio. h>
Int main(void)
{
printf("%s","Jamii Forum"l);
Return 0;
}
Ya chini ni C++

Sent using Jamii Forums mobile app
 
public class Demo
{
Public static void Main(String [args])
{
System. Out.println("JF");
}
}

Hii juu ni programming language gani?

Na hii chini je ni formal language gani?

[HASHTAG]#include[/HASHTAG] <stdio. h>
Int main(void)
{
printf("%s","Jamii Forum"l);
Return 0;
}
Ya juu ni Java ya chini ni C and not C++/C with classes...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo IT Imo ndani ya computer science.
Computer science Ina wigo mpana wa kusoma mambo mengi ambapo mtu wa IT hasomi.
Dogo ni sawa na mtu anaesoma BAM na mwingine Advanced Mathematics ukasema wote wamesoma mathematics.
IT is like BAM while computer science is Advanced mathematics.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza!! Kazi imebaki kwa DOGO,kusuka au kunyoa!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli nacho jua mimi IT ,ni vitu vyote vya kitekinolojia vinavyo husika na taarifa fulani au habari kama Tv,Simu, computer,vifaaa vya security, nk.

Na inakua ni kuhusika na taarifa zinavyo toka na kuingia na namna unavyo weza kuzipata taarifa.ila ukizungumzia computer science unakua unaongelea namna ambavyo vifaaa kama computer,tv,simu vinavyo fanya kazi ya kutoa taarifa na habari mbalimbali,yani kwa ujumla computer science inagusa sana hardware ilivyo na ufanyaji wake wa kazi ulivyo. Sasa IT inaangalia sana software ya zile taarifa ambazo zimefanyiwa kazi na hardware.

Ila sasa hapa tanzania elimu zetu zinatolewa kuangalia soko la ajira ndio maana utakuta mtu ni IT lakini fundi wa computer.na pia mwingine kasoma computer science lakini ni database admn.
 
Pia IT na computer sio kwamba kimoja kinammeza mwenzake hapana. Nitatoa mfano. Kuna hardware inaitwa processor ndani ya hiki kifaa kuna IT yani software-taarifa fulani,na pia kwenye IT ndani yake kuna kifaa kinacho fanya kazi za IT yani processor.hivyo utaona haya mambo yote mawili yanategemeana.
 
Wakubwa mdogo Wang amesoma certificate ya IT sas diploma anatak aende kusoma computer science je,inawezeka na kam inawezekan ni chuo gan kizur kinachotoa iyo kozi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameangia chuo cha ucc amesema hakina kozi ya computer science pale ipo IT na pia DIT pale wanataka D physics na math D kwa o'level ndio utasoma pale....mkuu je hakuna chuo kingine kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
Computet science zinafanana na IT, asome tu hiyo alafu degree anaweza kusoma computer science!!

Aangalie na mzumbe japo nao nadhan wana IT!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom