Nijiue ama? Kutokana na hii picha na hali yangu

Nimesoma mars nne ndo nimeelewa kidogo sana,ila kuna ndugu yangu nae alipata shida kama yako tulihangaika sana hospital na walikua hawaoni shida ila siku moja tukampeleka kwenye maombi ,ndo majini yakapanda wakayakemea hadi leo mzima.
Jaribu cheki hospital wasipoona kitu nenda kwenyemaombi labda ni nguvu za giza,pole saana
 
Xperience

"MWIVI HAJI ILA AIBE NA KUCHINJA NA KUHARIBU; MIMI NALIKUJA ILI WAWE NA UZIMA, KISHA WAWE NAO TELE" Haya ni maneno ya YESU Kristo, ukiamini na kwenda kwake atakutendea kama alivyojitambulisha. Acha kuchanganya........chukua msimamo mmoja tu wala hutakemea pepo kwa kutumia Quran na YESU ukapata chochote kutoka kwa YESU..............YESU atakuhurumia/atakuponya. Nenda kaombewe ama T.A.G, E.A.G.T,F.P.C.T, F.G.B.F, CALVARY ASSEMBLIES au kwenye mikutano ya injili ya Kiroho kokote utakakokuwa
 
Last edited by a moderator:
'..............................

Basi wakati huo nahisi kichwa ni kizito na chenye uwezo mdogo wa kufikiri ingawa uwezo wa kuelewa masomo upo. Nikarudi nyumbani kufundisha tempo. Nikafikia mwisho wa kufundisha ila sikuendelea na masomo chuo kwa kuwa nilikuwa nimeshaharibwa seheemu kubwa ya mwili.

Nikaanza kujipumzisha kila siku. Na kukata tamaa. Basi nikakaa nyumbani siku hiyo ndio nikaanza kusikia sauti ikiniogelesha. Mimi sijawahi kujua sauti hii ni kwanini ilikuwa ikinielekeza kufanya dhambi na kupenda nifikirie mabaya."

Siku ya siku ikafika. Nikaamka asubuhi nikaenda kumtembelea mtoto wa mjomba wangu akiwa dukani kwa baba yake. Baada ya kuondoka na kurudi nyumbani nikiwa njiani. Sauti ikaniambia umesikika ulipowaza. Kuna kitu niliwaza. Nikakasirika na kuwahi nyumbani na kutupa kitabu cha dini chooni. Nilichukia sana kuambiwa nasikika nikiwaza.
.............
Tafadhari rejea kwenye red and bolded above!!
1. Pole kwa yanayokusibu, naomba unijibu, unaposema umeshaharibiwa sehemu kubwa ya mwili unamaanisha nini?? Maana mwanaume kuharibiwa mara nyingi inamaanishwa kuharibiwa kabang!

2. Imekuwa ikikuelekeza kufanya dhambi gani?
 
auditory hallucination na pia unashindwa kupangilia mawazo+suicidal ideation. typical case ya schizophrenia.pita net soma kuhusu schizophrenia na nenda kamcheki dokta wa akili.
 
WEWE MIMI SIFIKIRI KAMA KWELI UNA TATIZO HILO. IT IS IMAGINATION. Mbona unaandika vizuri, somehow logicaly, Nina mashaka na ujumbe wako wa mwisho, kile ndicho ulicholenga kusema.

Niseme, si vizuri kutaja vitu ambavyo vinatenganisha watu. Taja vinavyounganisha watu. Usitofautishe watu kwa dini si salama kwa yeyote yule, hata wewe mwenyewe.
Xperience
 
Last edited by a moderator:
those are hallucinations.... mostly seen in psychiatry patients.. nenda hospitali upewe dawa

nakubaliana na wewe kabisa, ndugu yetu huyu anaugonjwa wa akili na ninachomshukuru Mungu bado anao uwezo wakujua analo tatizo, na kutafuta msaada.

naomba msimkejeli na kama kuna mtu anayemfaham basi achukue jukumu lakumpeleka pale mawenzi hospital kuna kitengo cha magonjwa ya akili atatibiwa atapona na hatimaye atarudi darasani na kuwa mtu muhimu katika jamii.

ndugu yangu kama utapata wasaa wakusoma ujumbe huu tafadhali sana sana jiandae na uelekee pale mawenzi hospital ukiwa umeambatana na ndugu wa karibu.

ninakutakia matibabu mema na Mungu akupe ujasiri wakuiendea njia iliyo sahihi.
 
Nimekusoma na kugundua kuwa,wewe hapo ulipo unaugonjwa wa akili,umekuwa mtumwa wa hizo sauti na una majini(mapepo)ndani yako.Mapepo yamekugeuza kuwa taahira.Fanya haraka kuonana na YESU akuponye.
Huyu Yesu yuko wapi na mimi nikaonane naye maana namsikiaga tu....
 
Sikufich mkuu hata mm cjaelewa kitu

Yani Ni Kwamba Alikwa Mwislamu(Tamsya) Akaamua Kugombea Uongozi Wa Dini, Alivyoshindwa Akaona Bora Awe Mlokole Sasa Akatupa Ktabu Cha Dini Chooni, Ndipo Alipoanza Kuwehuka Huyu, Kwakweli Tunatakiwa Kumsaidia Sana Kwani Anataka Kujiua Ili Aepukane Na Huo Uwehu (sauti Aisikiayo).
 
Yani Ni Kwamba Alikwa Mwislamu(Tamsya) Akaamua Kugombea Uongozi Wa Dini, Alivyoshindwa Akaona Bora Awe Mlokole Sasa Akatupa Ktabu Cha Dini Chooni, Ndipo Alipoanza Kuwehuka Huyu, Kwakweli Tunatakiwa Kumsaidia Sana Kwani Anataka Kujiua Ili Aepukane Na Huo Uwehu (sauti Aisikiayo).

Hapo nimekuelewa, tatizo lake lilianza pale alipotupa kitab cha din choon tena baada ya kukosa uongoz, anahitaj maomb sana kwa kwel
 
Back
Top Bottom